ni utani au mko hivo?

resize.php
 
jamani mbona hao wanaotumwaga kila kukicha ni wanaume wenzetu! kuna mdada mmoja anaendesha shabiby ya kwenda dodoma! anajua aiseee!
 
Hujajua raha ya manual wewe! Ebu Jaribu uone ilivo raha na ni |Sifa .... kama hujui manyu, hujui kuendesha gari unajua kunyoosha gari barabarani...Ulisha ona wapi Dereve kajifunzia auto? kama kuna shule duniani ya udereva unaifahamu inaamuandaa dereva kwa auto ..i have mil 3 tsh cash for you


Kwani kuendesha manual sifa?
Sasa kama mtu by the time anazaliwa auto zishavumbuliwa, why bother?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom