Leo hatujalala kwa jirani kuna ugomvi kama huo, jamaa kakuta msg ya wasapu kwenye simu ya mkewe wa ndoa akichat na mtu mmoja toka Arusha akijinadi yuko single na anaishi na binamu yake
Kwa siku hizi wala haupati shida ya mpenzi ni kubofya tu na hasa ukishajua hili jina nila anti au la miss hapo tena ni uwanja wako wa kucheza hilo draft