Nenda gerezani jioni buku 20 tu double Coaster hakuna kulala zinachomoka sa 2 usiku asb 12 uko Mbeya mwendo usiulize piga vidonge vya usingizi kula ushibe twende kazi.
Dar lux 44000
Sauli 44000
New force 40000
Talent 40000 kwa 60000 VIP
Hahahaa we Mbeya umekuja lini? Si tulikua hapo enzi za kina Jombi,Jengela,Sokolo,Kibo,Mwamajuja.Sawa, lakini haujawahi kupandisha watu Mbeya to Dar. na inawezekana hata Mbeya haujawahi kufika.
Gerezani Dar pale Coaster hakuna kulala kibao utazikuta zimekula mzigo na vichwa buku 20-25 asb uko Mbeya.Gerezani ya Mbeya iko Luanda au Kawetere?
Sorry 44000 mkuuChukua SAULI mkuu. Nauli ni 46000. Mbeya linaingia saa 1 mkuu. Lina sit nzuri