GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,262
Nimekuwa nikishangaa sana watu wanasema eti nape anafuatia kuhama CCM. hili nlishakataa toka zamani sana. nyie watanzania msidhani kuhama CCM ni kitu rahis rahis tu kama kuachana na msichana huyu na mkumdandia mwingine(Ashakum si matusi) ni process ndefu sana ambayo inabdi ujitathmin kuwa ukishahama utaishi vipi kuanzia hapo? je zile shughuli zako sasa zitaendaje?
Nape akihama CCM unadhan atakuwa anafanya nini Nje ya siasa za CCM? ataishi vipi? si rahisi kihivyo. Nape hawez hama CCM na haitatokea. na siku ikitokea ujue ndo mwisho wake kisiasa na kiuchumi. wewe ukimwangalia nape unadhani anaweza kufanya nini kingine zaidi ya kuwa mnafiki?msidhani kila mtu anaweza kuwa mnafiki au kutokuwa mnafiki. ukiamua kuishi kwa unafiki ndo yanakuwa maisha yako.
CCM wapo wengi wenye manung'uniko lakini kuna watu wachache sana wenye maamuzi ya kiume na wakabaki na maamuzi yao kwa maisha yao yote. mnayo mifano ya watu ambao waliamua kurudi CCM baada ya maisha kubana . akina Dr masumbuko, akina kabourou, akina mwigamba, akina kitila n.k
Kuna ambao walikuwa wanaonekana wazi kuwa ni ccm wakarudi na kuna ambao walikuwa ccm pasipo kujulikana na baadaye wakaamua kurudi ccm kwa kujulikana kwa kuwa sasa wanafahamika. Mwacheni Nape aendelee kuwa ccm kuwa upinzani HALISI ni sentenced to death. kama si leo kesho.