Ni upendo au anaibiwa?

Kwanza kabsaa jamaa aache utoto. Pili kama anaona anaibiwa iyo mil35 asafiri yeye kama yeye hadi tarime amuite dem sehem waonane kwanza live. Je akituma nauli afu dem aje ukute matako yote n ya kushoto utafanyaje kama sio kumuacha stendi mtoto wa watu. Na la tatu f35 sio ya kuwazia sana ndugu sa kama anajishaua na f35 mbona hataweza kumtunza sasa. Sometimes you have to risk some issues to gain.
 
"sometimes you have to risk some issues to gain". Nimekupata mkubwa.
 
eti mil 35 ila waja๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Anaeolewa ndio atoe nauli.
 
Kwani huyo jamaa yako, katika kufikiri kwenye suala la mapenzi huwa anatumia akili gani?

Akili Ya kichwa cha chini au kichwa cha juu.

Akitujibu hapo tutamshauri vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ