Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Unafiki unaendelea kututafuna sisi waTanzania.Wabunge wa CCM ndiyo wenye dola, wakisema NDIYO imepita hiyo. Mchakato wa kuipata Katiba Mpya ya Wananchi umetugharimu fedha nyingi sana za sisi walalahoi tunaolipa kodi kila kitu tunachonunua.
Na waliochangia Katiba Mpya kuyumba n wanachama na wabunge wa CCM.Kila kitu wakawa wanasema ndiyo.
Sasa hivi wanajidai et kuidai Katiba Mpya.Nimemsikia Mbunge wa Bahi CCM Mh Badwel et anaidai Katiba Mpya.Mlikuwa wapi kipindi kile imefinyangwa?
Mnampa Rais majaribu sana.Juzi tu hapa, Waziri wetu wa Sheria na Katiba ameapishwa Ikulu ya Dsm, leo hii wabunge wanakomaa kumuuliza maswala ambayo wao walishindwa kuyabeba kipindi cha nyuma.Afanyeje sasa?Tuache ushabiki.
Bahi kuna matatizo mengi sana ya wagogo.Nakushauri Mh Badwel ujikite kutetea kura zako Bahi na si kuanza kumshambulia Waziri mgeni,au kwa vile nae n mgogo mwenzio?