Ni ujuha kuamini kwamba Raisi hastahili kuzidiwa mshahara na wale anaowateua!!

Marekani wanaheshimu wanasayansi, mimi na risk maisha yangu kwenda mwezini nije nipokee mshahara sawa na mwanasiasa
 
katiba yetu inatambua kwamba raisi ni taasisi kubwa ktk nchi ya tanzania hivyo hakuna taasisi nyingine itakayoizidi kimaslahi na kimaamuzi.
 
Back
Top Bottom