SUala hili halina uhusiano na umri wa mtu. Kuna vidume vyenye miaka zaidi ya 35 lakini havijatulia kabisa. Likewise, kuna walio below 35 lakini wako safi na ndoa zao na mimi ni miongoni mwao. Suala la tabia ya mtu haliendani kabisa na umri. Ndo maana ni muhimu ku-develop good habits tangu ukiwa kijana maana ukiwa na tabia mbaya (mfano ya kutoka nje ya ndoa) hata ukikua utaendelea nayo tu.
I am talking this from experience. Mi kabla ya kuoa sikuwa na tabia ya kufukuzia vibinti. Nilisubiri muda mwafaka. Na hata nilipompata mchumba sikuwahi kufanya nae tendo la ndoa mpaka tulipofunga ndoa kanisani. Tulikaa kwenye uchumba kwa miaka 2 na nilifanya tendo la ndoa nikiwa honeymoon baada ya kupata baraka za kanisani. Vijana wenzangu waliokuwa wanafukuzia vibinti (na waliniona mimi kama zoba vile) nao wameoa lakini wengi wao mpaka leo bado wanafukuzia totoz nje ya ndoa.
Thamani ya ndoa ni wakati wote; ukiipa mipaka ya muda na umri wewe umeingia kwenye ndoa si kwa maana ya kuwa kwenye ndoa !
my my...what is going on here?
roselyn unajidanganya
i know hun,
mie nahisi nitafanya trial and error mpaka nimpate mr right...
kuna signature ya mtu hapa JF sijui ni salha ama nani nimeipenda kweli...
ile inasema 'a lady has to kiss many frogs before meeting her prince charming'...:A S shade:
mmh wa kwetu 'umri' mamii kumbe una matter.......(at least not to me)
Baba Askofu hapa unamlaani??
:A S-devil1:...:angry:...:whip:.......:yell:.....:whip:......😛ray:
hapa naona kama nashauriwa nisubiri mpaka akue
hadi wakati wa mavuno...bwana mwenye shamba nani?
Baba Askofu hapa unamlaani??
To be honest...wanaume waliooa wakezao wakifika miaka 35 tena wakiwa wameshazaa basi wanawaona kama vile hawanathamani. Wanaume waliowengi hata kama wana miaka 35+ hupendelea kutoka nje ya ndoa zao. Hii kitu inapelekea wake zao kunung'unika na siku vikiwazidi nao hutoka kwenda kuchapika nje!Hii niliisikia toka kwa mdada flan mwenye ndoa yake... Kwamaba yey akikwaruzana na mumewe na tatizo kwa wazee kwa utatuzi... Anaambiwa awe mtulivu..wamaume wengi huanza kuiona thamani halisi ya ndoa wakiwa na miaka 35 na kuendelea..kabla ya hapo wengi wanaoa ila akili zao bado zinatamani yale walioyaachacha nje na huku bado ndoa wanaitaka vilevile.. Wakishafikia umri tajwa..wanatulia...!!
Sijafika huko bado...udadisi wangu katika kampani za jamaa zangu( walio juu na walio chini ya miaka 35 waliopo katika ndoa) naona dalili fulani ya ukweli..!!
Wakulu...Imekaaje hii??
chonde2 nipo chini ya nanii yako!:censored:
i know hun,
mie nahisi nitafanya trial and error mpaka nimpate mr right...
kuna signature ya mtu hapa JF sijui ni salha ama nani nimeipenda kweli...
ile inasema 'a lady has to kiss many frogs before meeting her prince charming'...:A S shade:
Mimi bana nimeshawaambieni kuwa sitabadili mawazo. Kura yangu ntampa Dr. Slaa.:lalala:
njoo unywe supu ya ndezi huku wewee