Ni uchoyo kwa kwenda mbele.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Mzee mmoja alikuwa anacheza draft na wazee wenzie.Msosi ulipokuwa tayari,mkewe akamtuma mwanae akamwite baba yake kwa ajili ya msosi.Dogo alipofika kwa baba yake akaamua kumwita kimafumbo ili wale wazee wengine wasijue.Dogo akasema;Baba una bichwa kama ugali.Baba naye akajibu;kaone kule miguu kama tangulia nakuja!
 
wenzio tunasemaga "njoo nisaidie kusogeza kabati"
 
Au unaweza kusema baba mgeni anakuita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…