Ni uchovu wa safari au?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
1484285842256.jpg
 
Haya ndio matatizo ya mtoto wa kiume kumiliki ki baby walker. Kabla hujamfikisha mtoto sehemu husika anakuwa ameshajichokea. Sie tunaomiliki ma Range Rover, mtoto hawezi kuchoka kiasi hicho...
Haaaaaahh haaaahh..! Hatari sana
 
Sana nimwona hilo gari ni full of plastics,not classic at all kama sio passo sijui...
 
Back
Top Bottom