Hata hivyo usidhani kuwa wote watakaoponda tangazo hilo ni lower second, wengine hatuko kundi hilo na wala hatuna mpango wa kuomba hizo kazi sipokuwa ni ukweli tu kuwa hilo tangazo ni la kipuuzi. Vinginevyo waonyeshe taratibu za utumishi wao ikiwa zimeeleza hivyo(kama ilivyo higher learning institutions).