Ni thread gani ilikuvutia mwaka 2016?

Ni thread gani ilikuvutia mwaka 2016?

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,897
Reaction score
14,435
Tunapokaribia kumaliza mwaka 2016 kuna threads nyingi zilitoka ambazo zilitoa Habari, Zilielimisha, Ziliburudisha na Kuchekesha. Kwa upande wako ni thread ipi ilikuvutia kwa mwaka 2016 na sababu ipi ulivutiwa nayo? Binafsi nilipendezwa na nyingi lakini michango ya watu kwenye uzi uliokuwa unazungumzia tetemeko la Ardhi lililotokea katika mji wa Kumamoto nchini Japani ilinichekesha sana, aidha nilijifunza mengi kwenye uzi uliokuwa unazungumzia uwezo wa Ujasusi wa Mossad.

Wewe ulivutiwa zaidi na zipi?
 
Mimi ile ya ka Mange Kimambi! Ya kuhusu kipondo!
 
Hilo tetemeko la Kumamoto lazima lilikuwa kubwa sana, hata mimi hiyo thread ya tetemeko la Kumamoto ilinivutia sana
 
International thread/The president wa Malawi alivyotoweka,,,,!
 
Ok kila mtu atakaeyeisema thread iliyomvutia aweke na link ambao hatujaiona twende tukaoshe macho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom