Ni thithiii baba thao...

Ni thithiii baba thao...

Dogo unatafuta kurogwa
athe..hii kitu inaniumiza sana hivi kila kitu kuhusu ubahili wapare?jamani kwa maisha ya sasa kuna mtu ambae atongi na bajeti...afu wapare wa 1890 ad sio wa sasa,utasikia mara oooh wapare washirikina....oooh mara wapare wabahili....oooh wapare ma la ya jamani mbona kila baya kwetu...nani amesema kuna kabila halina hivyo vitu kweli kuna kabila fuska kama waleee.......wanaokula bunyebwa na matoke.[nawataka radhi}enbu tusichafuane tusije kokosa vimwali humu,napita tu
 
ha ha haaa imebidi nijitazame kwenye kioo,
kumbe mimi siyo cheupe kabisa,
kidogo tu ningekuwa cheusi.

mi kyasaka mtoluuuu sio mbegu ile ya ndungu au mamba miamba hahahah mamndenyi,ila mtani kama ni wamarangu lazima we cheupe dawa haha
 
ha ha haaa imebidi nijitazame kwenye kioo,
kumbe mimi siyo cheupe kabisa,
kidogo tu ningekuwa cheusi.
bishanga anataka kurushaa ngumi doh!!babu anaasira...mi mwenyewe mgeni humu
 
Kuna wimbo wa Juma Bharo una mahadhi ya kipwani unaitwa waja namnikome
 
Murungu.....!!! haariiika! Kumbe na wee ni mbwange wa kipare lol.!?
Ni pm Nienda nikuvwire kindhu chedi avae..!

hahahaaaa! mi thi mbwange wa kimpare mira nikimanje..teh teh!
 
Back
Top Bottom