ATHE..hii kitu inaniumiza sana hivi kila kitu kuhusu ubahili wapare?jamani kwa maisha ya sasa kuna mtu ambae atongi na bajeti...afu wapare wa 1890 AD sio wa sasa,utasikia mara oooh wapare washirikina....oooh mara wapare wabahili....oooh wapare ma la ya jamani mbona kila baya kwetu...nani amesema kuna kabila halina hivyo vitu kweli kuna kabila fuska kama waleee.......wanaokula bunyebwa na matoke.[nawataka radhi}enbu tusichafuane tusije kokosa vimwali humu,napita tu
Vikani vintu nen'ndo ini mkhaka nhunduke baadaeteh..usiveche ambu vantu vezangana aha..teeh
cc Lady doctor
ATHE..hii kitu inaniumiza sana hivi kila kitu kuhusu ubahili wapare?jamani kwa maisha ya sasa kuna mtu ambae atongi na bajeti...afu wapare wa 1890 AD sio wa sasa,utasikia mara oooh wapare washirikina....oooh mara wapare wabahili....oooh wapare ma la ya jamani mbona kila baya kwetu...nani amesema kuna kabila halina hivyo vitu kweli kuna kabila fuska kama waleee.......wanaokula bunyebwa na matoke.[nawataka radhi}enbu tusichafuane tusije kokosa vimwali humu,napita tu
duh!. hapa inabidi ubavu wangu Heaven on earth aje anisaidie kutranslate. mia..nakabujii changu.....na igonjii
duh!. hapa inabidi ubavu wangu Heaven on earth aje anisaidie kutranslate. mia