Ni TBC pekee ndiyo hatutakiwi kulipia?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,696
Dah, yaani kifurushi kimekata Jana, TV zote zimekuwa denied nataka kufahamu
ni Ving'amuzi vyote au AZAM pekee?
Ni TBC na AZAM Extra yaani ile ya matangazo ndio ziko hewani.
 
Dah, yaani kifurushi kimekata Jana, TV zote zimekuwa denied nataka kufahamu
ni Ving'amuzi vyote au AZAM pekee?
Ni TBC na AZAM Extra yaani ile ya matangazo ndio ziko hewani.
Lipa bwana usipende vya dezo.......anyway nadhani hujalipia muda mrefu ndo maana wamekuachia TBC tu
 
Bora hao Azam unaona Tbc!
Zuku majanga wanakuachia no 1 ya matangazo tu
 
Lipa bwana usipende vya dezo.......anyway nadhani hujalipia muda mrefu ndo maana wamekuachia TBC tu
Sio kweli mimi binafsi huwa nalipia kila mwezi, juzi tu kimekata wamebakiza TBC na Extra, ambayo ni ya matangazo.
 
Poa mkuu tuombe kukuche salama kesho, nitawapigia, hata hivyo nategemea kulipia kesho, nisipitwe na mabonanza yetu.
Hahaaaa angalau lakini wamepunguza bei kuanzia tar 21,hakutakua tena na malipo ya vifurushi vya nyongeza
 
Aisr
Hahaaaa angalau lakini wamepunguza bei kuanzia tar 21,hakutakua tena na malipo ya vifurushi vya nyongeza
Ni habari njema, punguzo likoje mkuu, au ukilipa kile kifurushi cha Tsh 25 ndiyo unaona zote?
 
Back
Top Bottom