Ni Tanzania pekee, ambapo sherehe za Wafanyakazi yaani Mei mosi zinaratibiwa na kuandaliwa na Serikali na sio vyama vya wafanyakazi

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,487
Reaction score
14,064
Screenshot_20250430_215715_com.android.gallery3d.jpg

Kwenye picha hapo ni Viongozi wa Serikali eti wanakagua maandalizi ya uwanja kwa ajili ya mei mosi. Hizi kwa mchi zote Duniani hata kule Somalia ni sherehe za wafanya kazi tu.

Bado unakuta wafanya kazi wana taguta mchawi wa masilahi yao?

Hakuna Taifa isipo kuwa Tanzania ambako Sherehe za wafanya kazi zinaandaliwa na Serikali. Mataifa yote isipo kuwa Tanzania sherehe huratibiwa na kuandaliwa na vyama vya wafanya kazi na sio lazima wamualike mkuu wa nchi wanaweza wasimualike kabisa na hakuna tatizo.

Sasa Tanzanua ni lazima Raisi wa nchi awepo kwenye sherehe, na sherehe zenyewe zimendaliwa na Seerikali yaani hata vyama vya wafanya kazi vinafanywa kualikwa na kupangiwa cha kuzungumza.

Nenda hapo Burundi nchi masikini kabisa sherehe za Mei mosi husimamiwa na vyama vya wafanyakazi wa Burundi na sio Serikali. Nenda Uganda, nend Kenya huko.

Halafu sherehe unakuta zimejaa wasanii wa kwenda kupoteza muda ikibakia lisaa ndio hotuba zinaanza za kusifu na kuabudu.

Huwezi ukawa mwajiri na hapo hapo ukawa unaandaa sherehe za waajiriwa wako ili wakutane wazungumzie matatizo yao.

Wafanya kazi sana watapewa chakula cha bure kesho sana itakuwa wali kuku na soda na watasahau matatizo yote na watashukuru kwa wali na soda kutoka Serikalini.
 
Yaani sisi ni bogas,wapumbavu wa kila kitu,Simba ameshinda anapongezwa Samia,ulishawahi kusikia Vilabu vingine hapa kalibu au ulaya mfano Barcelona kashinda alafu anasifiwa Rais wa Spain?
Yaani CCM inaharibu ubongo wa Vijana wao
 
Ila mbona hapo hapo mnawategemea hao hao wa serikali kutatua kero zenu?
 
Sasa vyama vya wafanyakazi wanachama wake ni kuku?

Mei mosi ni siku ya kwenda kuitimisha, haya maazimisho yalishaanza kama wiki moja au mbili nyuma

Na walishiriki wafanyakazi wa taasisi mbalimbali za serikali kutoka vyama mbalimbali

Ushiriki wao ulikuwa katika maeneo tofauti hasa michezo. Hivyo kesho ni kuitimisha ambapo mgeni rasmi kama ilivyozoeleka ni muajiri mkuu ambaye ni Rais wa nchi

Mwaka jana hakuwepo mlilalamika, mwaka huu yupo mnalalamika

Kuna maonyesho ya saba saba na Nane nane, ambayo pia uanza wiki moja au mbili na kuitimishwa na kiongozi atakaye alikwa kufanya hivyo

Ni mambo ya kawaida ambayo yanataka kufanywa kuwa makubwa ili kuleta taflani
 
Ila mbona hapo hapo mnawategemea hao hao wa serikali kutatua kero zenu

Ila mbona hapo hapo mnawategemea hao hao wa serikali kutatua kero zenu?
HIzo sio hisani ni haki, kwa zile nchi ambazo wafanya kazi wana akili huwa wanagoma, Tanzania huku hata mishara wafanya kazi wanajua ni zawaida yaani wajinga wanafanya kazi then vitu kama nyongeza za mishahara kwao ni zawadi
 
Sasa vyama vya wafanyakazi wanachama wake ni kuku?

Mei mosi ni siku ya kwenda kuitimisha, haya maazimisho yalishaanza kama wiki moja au mbili nyuma

Na walishiriki wafanyakazi wa taasisi mbalimbali za serikali kutoka vyama mbalimbali

Ushiriki wao ulikuwa katika maeneo tofauti hasa michezo. Hivyo kesho ni kuitimisha ambapo mgeni rasmi kama ilivyozoeleka ni muajiri mkuu ambaye ni Rais wa nchi

Mwaka jana hakuwepo mlilalamika, mwaka huu yupo mnalalamika

Kuna maonyesho ya saba saba na Nane nane, ambayo pia uanza wiki moja au mbili na kuitimishwa na kiongozi atakaye alikwa kufanya hivyo

Ni mambo ya kawaida ambayo yanataka kufanywa kuwa makubwa ili kuleta taflani
Yameanza wapi? Mei mosi ni siku ya Wafanyakazi hayo maonyesho ni hadaaa kwa wajinga eti maonyesho yameisha anza.

Hakuna uhusiano wa maonyesho na Mei mois, tafuta nchi nyingine yenye huu ujinga.

Mei mosi ni kwa wafanya kazi tu, wao ndio Mabosi siku hio, Raisi anaalikwa au asialikwez Kule Kenya kuna wakati hawamualiki Raisi.
 
S

Serikali inakusanya kodi za wananchi bila wananchi amna Serikali
Sasa hizo kodi c ndo zinatumika kuandaa hizo sherehe, sasa tatizo liko wapi hapo? Mana najua mkiambiwa mchangie kuandaa sherehe lazima mgome
 
View attachment 3321098
Kwenye picha hapo ni Viongozi wa Serikali eti wanakagua maandalizi ya uwanja kwa ajili ya mei mosi. Hizi kwa mchi zote Duniani hata kule Somalia ni sherehe za wafanya kazi tu.

Bado unakuta wafanya kazi wana taguta mchawi wa masilahi yao?

Hakuna Taifa isipo kuwa Tanzania ambako Sherehe za wafanya kazi zinaandaliwa na Serikali. Mataifa yote isipo kuwa Tanzania sherehe huratibiwa na kuandaliwa na vyama vya wafanya kazi na sio lazima wamualike mkuu wa nchi wanaweza wasimualike kabisa na hakuna tatizo.

Sasa Tanzanua ni lazima Raisi wa nchi awepo kwenye sherehe, na sherehe zenyewe zimendaliwa na Seerikali yaani hata vyama vya wafanya kazi vinafanywa kualikwa na kupangiwa cha kuzungumza.

Nenda hapo Burundi nchi masikini kabisa sherehe za Mei mosi husimamiwa na vyama vya wafanyakazi wa Burundi na sio Serikali. Nenda Uganda, nend Kenya huko.

Halafu sherehe unakuta zimejaa wasanii wa kwenda kupoteza muda ikibakia lisaa ndio hotuba zinaanza za kusifu na kuabudu.

Huwezi ukawa mwajiri na hapo hapo ukawa unaandaa sherehe za waajiriwa wako ili wakutane wazungumzie matatizo yao.

Wafanya kazi sana watapewa chakula cha bure kesho sana itakuwa wali kuku na soda na watasahau matatizo yote na watashukuru kwa wali na soda kutoka Serikalini.
😆😆😆😆 Mashati watakayovaa yana picha ya mama
 
Mama hana deni kwa wafanyakazi wa nchi hii......by Nyamhokya (bosi wa TUCTA).
 
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wapo bize kula michango ya wanachama wao!
 
Yameanza wapi? Mei mosi ni siku ya Wafanyakazi hayo maonyesho ni hadaaa kwa wajinga eti maonyesho yameisha anza.

Hakuna uhusiano wa maonyesho na Mei mois, tafuta nchi nyingine yenye huu ujinga.

Mei mosi ni kwa wafanya kazi tu, wao ndio Mabosi siku hio, Raisi anaalikwa au asialikwez Kule Kenya kuna wakati hawamualiki Raisi.

Screenshot_20250430-232717_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-231629_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232015_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232057_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232219_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232251_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232317_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232413_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232451_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232509_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232525_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232535_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232545_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232557_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232605_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232625_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232634_Instagram.jpg

Screenshot_20250430-232717_Instagram.jpg
 
Tusiwasahau walimu hawa ndio waotumika kutuvuligia HAKI na AMANI nchi kwa kutufanyia huu UHAINI. Kutuchagulia viongozi kuanzia Rais Wabunge na Madiwani ambao hawakuchaguliwa na wananchi
 
Attachments

  • #TANZANIA_ MSIMAMIZI WA UCHAGUZI AKAMATWA NA KARATASI FEKI TAKRIBAN 25 ZILIZOPIGWA KWA MGOMBEA...mp4
    3.7 MB
  • IMG-20250430-WA0003.jpg
    IMG-20250430-WA0003.jpg
    98.6 KB · Views: 14
Back
Top Bottom