Katika taifa ambalo rais anawaza kulifikisha kwenye UCHUMI wa kati lakini inasikitisha vijana ambao ni taifa LA kesho na ni nguvu kazi ya taifa badala ya kukaa na viongozi kudai serikali iwape mikopo wanapanga kuandamana kudai waruhusiwe kuangalia bunge tangu asubuhi adi jioni huku wakilia kuwa wanasumbuliwa na umasikini ,
Jana katibu taifa wa chadema anadai kuitisha mahandamano mwaka mzima ili waruhusiwe kuangalia bunge badala ya kuwambia waandamane kudai mikopo ili waondokane na umasikini yeye anawaza migomo ya kuwapotosha vijana,.
Ushauri
Jitambue vijana mnatumika vibaya na hamjui kipi cha kueasaidia maishani mwenu,
Pia ni mzigo kwa taifa