Ni tamaa au nini jamani

shoshte

Senior Member
Apr 9, 2011
129
20
Poleni kwa majukumu ya kila siku
Kuna rafiki yangu mmoja ni wa kike ok alikuwa Gf wangu zamani alikuwa chuoni nikabainisha kuwa alikuwa na mahusiano
na mtu mwingine nikaona huu ni utumbo wa bata nikampiga chini.Basi akaendelea na yule jamaa mi sikumwacha kwa ubaya
so tukawa marafiki akitaka ushauri alikuwa ananitafuta hata sasa ananitafutaga anapohitaji ushauri.Basi baada ya muda wakaachana
na jamaa sikutaka kujua kwanini akampata mwingine sasa juzi kanitafuta anataka amteme huyu jamaa wa sasa amrudie yule wa pili
yaani aliye achana naye je hii tutaataje sasa anashindwa eti afanye nini
 
Mwambie awe na hulka ya kike, mwambie awe na msimamo wa maisha yake. Mwambie atulie, ajipe likizo yakupenda ili ajitafakari ni nini anataka na nikipi asichokitaka. Mwambie amwombe Mungu amsaidie, asikubali kuyumbishwa na kuendeshwa na mapenzi. Anayo nafasi bado yakuchagua.
 
Poleni kwa majukumu ya kila sikuKuna rafiki yangu mmoja ni wa kike ok alikuwa Gf wangu zamani alikuwa chuoni nikabainisha kuwa alikuwa na mahusianona mtu mwingine nikaona huu ni utumbo wa bata nikampiga chini.Basi akaendelea na yule jamaa mi sikumwacha kwa ubaya so tukawa marafiki akitaka ushauri alikuwa ananitafuta hata sasa ananitafutaga anapohitaji ushauri.Basi baada ya muda wakaachanana jamaa sikutaka kujua kwanini akampata mwingine sasa juzi kanitafuta anataka amteme huyu jamaa wa sasa amrudie yule wa piliyaani aliye achana naye je hii tutaataje sasa anashindwa eti afanye nini
Loh mwanaume, kumbe huna siri?Mambo ya ndani iweje uyalete sokoni.
 
kila binadamu anakosea na ana haki kabisa ya kugeuza uamuzi wake pale inapobidi. Kama amegundua alifanya kosa kwa yule aliomuacha wa pili na bado kuna nafasi ya kujirekebisha na kurudiana nae kwanini wataka alazimishe kuwa na aliye nae sasa?? Asikilize moyo wake,ashirikishe akili yake,aangalie maisha yake yajayo na amuweke Mungu.asonge mbele baada ya hapo. Hakuna binadamu asiye na tamaa wala asiyekosea.
 
Mwambie awe na hulka ya kike, mwambie awe na msimamo wa maisha yake. Mwambie atulie, ajipe likizo yakupenda ili ajitafakari ni nini anataka na nikipi asichokitaka. Mwambie amwombe Mungu amsaidie, asikubali kuyumbishwa na kuendeshwa na mapenzi. Anayo nafasi bado yakuchagua.
Nimependa mawazo yako LD!
 
Poleni kwa majukumu ya kila siku
Kuna rafiki yangu mmoja ni wa kike ok alikuwa Gf wangu zamani alikuwa chuoni nikabainisha kuwa alikuwa na mahusiano
na mtu mwingine nikaona huu ni utumbo wa bata nikampiga chini.Basi akaendelea na yule jamaa mi sikumwacha kwa ubaya
so tukawa marafiki akitaka ushauri alikuwa ananitafuta hata sasa ananitafutaga anapohitaji ushauri.Basi baada ya muda wakaachana
na jamaa sikutaka kujua kwanini akampata mwingine sasa juzi kanitafuta anataka amteme huyu jamaa wa sasa amrudie yule wa pili
yaani aliye achana naye je hii tutaataje sasa anashindwa eti afanye nini

Anakutaka tena huyo, hana lolote. Halafu anaonekana ni maharage ya Mbeya, maji mara moja. Yaani hajui kabisa kusema NO, ndio maana anatangatanga!
 
kila binadamu anakosea na ana haki kabisa ya kugeuza uamuzi wake pale inapobidi. Kama amegundua alifanya kosa kwa yule aliomuacha wa pili na bado kuna nafasi ya kujirekebisha na kurudiana nae kwanini wataka alazimishe kuwa na aliye nae sasa?? Asikilize moyo wake,ashirikishe akili yake,aangalie maisha yake yajayo na amuweke Mungu.asonge mbele baada ya hapo. Hakuna binadamu asiye na tamaa wala asiyekosea.
anavyodai siyo yeye mwenye kosa
 
anavyodai siyo yeye mwenye kosa

huyo ni mtu mzima,mwambie afanye asikilize moyo wake na ashirikishe akili yake na Mungu. Huwezi jua kwa hakika akili yake inalenga nini,live your life,usipoteze muda na mtu mwingine mwenye uwezo kamili wa kufikiri na kufanya maamuzi.
 
Anakutaka tena huyo, hana lolote. Halafu anaonekana ni maharage ya Mbeya, maji mara moja. Yaani hajui kabisa kusema NO, ndio maana anatangatanga!
mi nilisha simama kwenye msimamo wangu sibadilishagi msimamo
 
huyo ni mtu mzima,mwambie afanye asikilize moyo wake na ashirikishe akili yake na Mungu. Huwezi jua kwa hakika akili yake inalenga nini,live your life,usipoteze muda na mtu mwingine mwenye uwezo kamili wa kufikiri na kufanya maamuzi.
yes ni kama ulikuwa na mimi nimwemwambia excatly maneno uliyoyasema nikamwambia hapo hahitaji ushauri ni yeye akae chini amue mwenyewe siwezi kumwamulia mambo yake ila afikirie sana kabla ya kufanya maamuzi
 
mwambie asi tutie aibu, hiyo sio sifa nzuri ya mwanamke ,mwanamke yule anatunza heshima yake sio kujamp kwa men kama ngedere, ata jiharibia,yeye awe na msimamo, ,,,,:A S 12:
 
Mwambie awe na msimamo ila pia asikilize moyo wake ni wap anataka kwenda
 
Sijajua inakuwa vipi bado wewe ni mshauri wake tu! baada ya kuachana naye kwa ku-cheat! sipati picha, ila ndio hivyo dada zetu wengi wao siku hizi ukivuta kamba tu kosa! wenye uwezo wa kusema NO wachache katika kumi ni nusu tu! Hii ni hatari sana na hata kama mwanamke hamjui mtu bado anamkubalia na hata anatembea naye peku! Africa is a dark continent Bwana, watu sio wakweli na sio wawazi mapaka tutakufa wote Bara zima kwa Ukimwi.
 
Malaya huyo achana nae haina haja ya kumpa ushauri.

Mzee wa njaa twende polepole......................yawezekana kabisa siyo malaya lakini hajui afanyaje..she wants to belong but at a terrible price...ushauri wa LD nafikiri ndiyo mwafaka hapa
 
Ndo matatizo ya kujump kwenye mahusiano mapya bila kupata muda wa kuclear the backload ....................
 
Sijajua inakuwa vipi bado wewe ni mshauri wake tu! baada ya kuachana naye kwa ku-cheat! sipati picha, ila ndio hivyo dada zetu wengi wao siku hizi ukivuta kamba tu kosa! wenye uwezo wa kusema NO wachache katika kumi ni nusu tu! Hii ni hatari sana na hata kama mwanamke hamjui mtu bado anamkubalia na hata anatembea naye peku! Africa is a dark continent Bwana, watu sio wakweli na sio wawazi mapaka tutakufa wote Bara zima kwa Ukimwi.
mimi alicheat kwangu nikajua nikamwambia kuwa mi nayeye basi sikuweza kumsamehe coz nilimsamehe mara moja akarudia tena nikaona ni mazoea nikamshit ila sikumwacha kwa ubaya we became more than friends akawa ananiomba ushauri sio kwa hili tuu pia wa mambo mengi kwani kuna ubaya wowote
 
Back
Top Bottom