Ni tabia zipi za ajabu ulizonazo zinafanya wanawake wakuogope sana?

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Leo nimekuja tofauti, nataka tuongee hili,,mimi binafsi nina tabia za ajabu kidogo ambazo huwafanya wasichana waniogope sana.

Sijui kubembeleza, sina jokes na wasichana ambao si plan kutoka nao mbeleni. Siruhusu mazoea hata 0% na wasichana kwa sababu tajwa hapo.

Kwa hili wengi wananiona wa ajabu na wakati mwingine hudukua convos zao wakinisema kuwa ni mtu machachari na jeuri, yaani wakinijadili kwa kina na kuonesha kuniogopa.

Kwenye simu yangu nina namba za wapenzi wangu 2 tu na za ndugu. Sina cha namba ya rafiki wa kike wala nini. Nina miziki 3 tu ambayo naisikiliza hiyo.

Aisee nasemwa mno na naogopwa kwa hili, japo mimi naona ni kawaida tu na nashangaa wao kuona kwa upana huu.

Nashindwa kuelewa wao wanataka niweje, au ni behave vipi ili wanione nipo kawaida? Ni mtambuka!.

Sipendi kuongea mara mbili mbili wala 'kucheka' na wanawake. Nikimhitaji namuambia direct namsikiliza yeye.

Hizo ndizo tabia zinazonifanya niogopwe na kuonekana kama sina akili timamu na hawa wanawake sometimes!

What about you? Karibuni tujadili!
 
Umesahau;

1. Ukiona puru ya Ke wako wakati wa kujamiiana huwa unapoteza kabisa hamu ya kuendelea na hilo zoezi.

2. Ke wako akijamba huwa unamfukuza kabisa kwa kukereka na harufu ya hewa chafu
 
Unakosea sana, jikite kwenye mada.
 
Hata avatar yako na jina vinasadifu uliyoyanena/Tabia yako ulizozitaja

Hata Mimi pia avatar na jina vinasadifu tabia yangu

*Ucheshi (avatar)
*Upole (avatar)
*martial arts-(jina)

Sijawahi kuogopwa na wanawake Ila nikiwa mtaani nasemwa Kwa wema mara nyingi

Mtu anajiita Heaven Sent alafu utegemee ukorofi kwake sidhani!!!
Sasa hiyo si picha yako. Hata mimi naweza kui plug picha kama hiyo ikawa avatar yangu. Bado una hoja dhaifu!
Mtoa mada hujamuelewa!
 
Nimemuelewa vizuri na huo ni mfano Tu nimejitolea mwenyewe.Kama kuna mtu avatar yake kaweka kikombe shauri take Ila Mimi nimeweka hiyo picha naona km inasadifu Tabia yangu ya ucheshi
 
Hata avatar yako na jina vinasadifu uliyoyanena/Tabia yako ulizozitaja

Hata Mimi pia avatar na jina vinasadifu tabia yangu

*Ucheshi (avatar)
*Upole (avatar)
*martial arts-(jina)

Sijawahi kuogopwa na wanawake Ila nikiwa mtaani nasemwa Kwa wema mara nyingi

Mtu anajiita Heaven Sent alafu utegemee ukorofi kwake sidhani!!!
Huku ni kujisifia Sasa.Ndo uhaya wenyewe tunao uitaga.

Kuhusu avatar,haisadifu chochote.Siyo kwamba akiweka Giza ndo anapenda Giza au banned ndo anakuwa na ban
 
Hauko sawa katika maswala ya KIJAMII sio sahihi kuwafungia vioo binti yoyote kisa sio target kua na urafiki nao inatosha haipunguzi kitu
 
Back
Top Bottom