Hii nchi mkapa na Nyerere tu ndio viongozi waliokua serious, hao wengine wote including jiwe hizi story za kutiana walikua wanazipenda sana.Huko ccm kuna vituko sana.
Utakuta mtu kama huyu nae katia nia ya ubunge na watampitisha na soon anakuwa waziri.
Isenye ni Mara, wanatoka huko watu serious na wanajua kujenga hoja. Wewe isenye ipi hiyo? Jiwe alikulamba vyeti feki itakuwa ndio maana ndugu zako waliingiziwa umeme kwa elf 27 na huoni, unapanda treni kali ya SGR huoni, alizuia wizi wa mali asili zako huoni, alisababisha migodi kutoa huduma za kijamii maeneo ilipo huoni, alijenga bwawa la kufua umeme ambalo lila mmoja hakuamini n.k n.kHii nchi mkapa na Nyerere tu ndio viongozi waliokua serious, hao wengine wote including jiwe hizi story za kutiana walikua wanazipenda sana.
NRNENo Reform No Election wanaiogopa sana