Ni siri gani imejificha hapa ?

Ni siri gani imejificha hapa ?

Tamu chungu

Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
85
Reaction score
64
Hababi za muda huu,
Nimekua nikiangalia tamthilia ya siri za familia na kuona kwamba waigizaji wengi wa wakike katika tamthilia hii wamefungusha mizigo mizito (vyura) kitu ambacho kimekua ni kivutio kikubwa cha watazamaji walio wengi hasa wanaume.

Swali langu ni kwamba,je msanii wa kike hawezi kufikisha ujumbe kwa jamii kama hana makalio makubwa ?
 
Unapenda flati au kama hao unaowaangalia ktk siri za familia? toa sababu
 
Duh umeniwahi ndugu yangu kuna dem housegirl nilimuona jana ana kundulahaja
 
Back
Top Bottom