Ni simu zipi zenye application za Microsoft office?

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
853
440
Poleni na kazi wanajamvi!

Naomba kuulizia kuhusu simu zenye application ya microsoft words, excel n.k

Nimetamani kuwa natumia simu kwenye kufanya kazi za microsoft word wakati ambao siko na laptop karibu.

Naomba kujua ni simu aina gani zina uwezo huo na bei zake kama ikiwezekana.

Natanguliza shukrani!
 
sasa hivi ni simu zote za android, iso na windows phone, uwe na tecno, samsung, itel, iphone, nokia utazipata
 
simu za windows mobile kama nokia au microsoft kwa sasa ina apps za microsoft office kabisa za android upati za android inatumia kingsoft zenye mtazamo kama microsoft office ila sio.
 
Windows mobile zinauzwaje? Natamani ninunue simu ya aina hiyo ili nipige mzigo hata nikiwa eneo nisiokuwa na access ya laptop
 
Apo unazungumzia simu za nokia lumia pamoja sumu za Microsoft sasa apo kwa mpya yenye sifa na heshima uishikapo mkononi andaa kuanzia 350 hadi 700 utapata chombo hataree
 
hapana sasa hivi official app za microsoft zipo playstore na appstore
 
Apo unazungumzia simu za nokia lumia pamoja sumu za Microsoft sasa apo kwa mpya yenye sifa na heshima uishikapo mkononi andaa kuanzia 350 hadi 700 utapata chombo hataree
Nashukuru sana Mkuu!
 
Windows mobile zinauzwaje? Natamani ninunue simu ya aina hiyo ili nipige mzigo hata nikiwa eneo nisiokuwa na access ya laptop
zina kua smarthphone ambazo zina tumia mfumo wa windows ambayo unaweza sync mamabo yako ya simu na laptop yani kuenda sambamba
microsoft-lumia-950-2071.jpg
 
Mimi nina tecno l8 lakini natumia word, excel, pdf, na microsoft lens (kama scanner) zote kutoka play store.
Ila sio tamu kama kwenye laptop
 
Back
Top Bottom