Hiyo series ya Vivo nimeanza kuifatilia tangu Vivo X50 pro mwezi huu wanarelease vivo x70 pro plus.Hio video ya Mrwhotheboss imemiss details nyingi sana mkuu.
Skip mpaka 9:19 video comparison, jamaa ametumia kigezo kizuri mawingu (comparison za camera hufanywa hivi kwa kitu ambacho watu wote tunakijua), pia ana stabilization nzuri kwenye circus.
Pia mwisho kabisa wa video kwenye night time video japo vivo alikuwa ni clear winner kwenye night time Unaweza ukaona stabilization s21u ilikuwa smooth zaidi.
All in all Mkuu camera yake nzuri sana nilikuwa sifahamu hili, ipo same level na hayo makampuni makubwa. Sema uchina bado upo hasa kwenye ku apply hizo filter za ngozi.
yah zeiss wapo njema, hivyo lens lazima iwe kali, kwenye low light pia walikuwa vizuri sana (stabilization)Hiyo series ya Vivo nimeanza kuifatilia tangu Vivo X50 pro mwezi huu wanarelease vivo x70 pro plus.
Maboresho huwa ni makubwa sana kwenye kila toleo wanalotoa.
Mfano X50 ilikuwa kawaida. Zaidi zaidi waiintroduce hiyo gimbal camera system.
X60 wakaja wakapartiner na Zeiss. Hiyo camera ikasifiwa sana Kwenye Bokhe na stabilization. Hata kwenye quality ya picha bado inasumbuana na smartphones nyingi sana. Hata we mwenyewe kwenye comparison utakuwa umeona.
Ngoja tusubiri hiyo X70 pro plus.
Ingia download mode kupata information halisi.Msaada wakuu nataka kununua galax note 8 nahitaji kujua kama yenyewe au ndo za kisumbua sumbua mtandaoView attachment 1950958View attachment 1950957
One PlusHabari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri.
- preferably those with video stabilizer( stabilization)
* Brands : Xiaomi, Oppo, One Plus, etc.
Sorry, iphone is not my preferred brand.
Your help pls.
NdiyoNatumae mleta mada ulipata muongozo...
Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri.
- preferably those with video stabilizer( stabilization)
* Brands : Xiaomi, Oppo, One Plus, etc.
Sorry, iphone is not my preferred brand.
Your help pls.
Unakataa iPhone ilihali hadi sasa hakuna simu inayoweza kurecord video nzuri zenye quality zaidi ya iPhone flagship
nani kakudanganya!!!
mpakaa dakika hii samsung ya mwaka jana haijaonyeshwa upinzani wowote na 13 ya mwaka huu.
si kwa slow motion
Samsung gani ambayo inarecord ProRes RAW video !?nani kakudanganya!!!
mpakaa dakika hii samsung ya mwaka jana haijaonyeshwa upinzani wowote na 13 ya mwaka huu.
si kwa slow motion wala stability.
Prores ni brand name ya Apple, ni kama mimi nikuulize ni simu gani ya Apple inaitwa IPhone Galaxy.Samsung gani ambayo inarecord ProRes RAW video !?
Acha kudanganya watu, ingelikuwa codec za ProRes za kawaida kuliko hizi RAW nyingine unafikiri kwa nini ziwekwe kwenye kamera professional za kisasa wanazotumia kuchukulia movies!? Na kwa nini ndo latest codec kutumiwa kwenye kila kamera ya kisasa!?Prores ni brand name ya Apple, ni kama mimi nikuulize ni simu gani ya Apple inaitwa IPhone Galaxy.
Prores ni codecs za Apple
Na kazi ya codec ni kucompress hizo picha kuwa ndogo ili size ipungue. Hivyo ina make sense ku compare kitu kama hichi kwa simu zenu zisizo na memory card, kama mtu ana simu ina memory card ama storage kubwa 512mb ama 1TB pengine hata asijali.
Unaweza ukaona hapa gsmarena ana test
Is using Apple ProRAW worth it? We test it on the iPhone 12 Pro Max
Or is Apple's Smart HDR 3 and Deep Fusion good enough, or even better? Back in October, Apple announced that the 12 Pro and 12 Pro Max will support a new...m.gsmarena.com
Njia ya kawaida ya Jpeg ilikuwa ni Much superior kwa prores. Hivyo samsung halack chochote kwa kuwa na raw za kawaida
Nimekupa link hapo juu test imefanywa na Prores ya iphone ipo inferior kwa traditional Raw ya kawaida ya kila siku, kuniumbua na uongo wangu ulitakiwa na wewe ulete test inayoonyesha tofauti, matokeo yake unaleta maneno matupu.Acha kudanganya watu, ingelikuwa codec za ProRes za kawaida kuliko hizi RAW nyingine unafikiri kwa nini ziwekwe kwenye kamera professional za kisasa wanazotumia kuchukulia movies!? Na kwa nini ndo latest codec kutumiwa kwenye kila kamera ya kisasa!?