moto ya mbongo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 499
- 386
Siku wakihack Mozilla Firefox yako ndipo utakapojua madhara ya kuweka kwenye Mozilla ili ufanye synchronization [emoji33] [emoji33] [emoji35]Huwa nasave kwenye Mozilla Firefox Browser.
Siku wakihack Mozilla Firefox yako ndipo utakapojua madhara ya kuweka kwenye Mozilla ili ufanye synchronization [emoji33] [emoji33] [emoji35]Huwa nasave kwenye Mozilla Firefox Browser.
vipi ukiwenda google drive??Siku wakihack Mozilla Firefox yako ndipo utakapojua madhara ya kuweka kwenye Mozilla ili ufanye synchronization [emoji33] [emoji33] [emoji35]
Sehemu salama ni katka kichwa chako tuHabari za kutwa.
Unapokua na zaidi ya mitandao kumi ya kijamii ni ngumu sana kushika passwords zako. labda kama unatumia zinazofanana kwa site zote sawa ila haishaririwi sababu sio salama, mtu ataweza itumia hiyo password na akaingia site kibao hivo aka hack account zako zote.
Mimi huwa naadika mahali, ila naona kuandika sio salama maana unaweza poteza document au haka karatasi/note book ikalowa.
Napenda mniambia njia salama ya kuhifadhi passwords zako kwa sisi tulio kwenye mitandao mingi inakua ngumu sana kukariri.
Angalau Google Drive sema flaw yake kuna vitu utashare na unaowatumia waweze kuaccess drive yako. Hapo password ya Gmail account yako inaweza kuwa mashakani.vipi ukiwenda google drive??
duuu sasa wap safeAngalau Google Drive sema flaw yake kuna vitu utashare na unaowatumia waweze kuaccess drive yako. Hapo password ya Gmail account yako inaweza kuwa mashakani.
Tatizo ni kwamba akishaziita password atasahau dawa ipi ni password ya wapi, nadhani hilo ndio tatizo lakekwanini sasa usitumie password ya dawa? password ni kitu ambacho wewe ni rahisi kukikumbuka ila wengine ni ngumu kukijua. tafuta dawa yenye jina gumugumu ongezea na namba unazozikumbuka unapata password yenye nguvu isiosahaulikika
Kama unaweza zicream kichwani kama mie navyofanya. Unakuwa na Master password halafu zote unaotengenezwa unazibadili. Halafu ikipita muda kama miezi mitano unabadilisha tena. Usipende browser ikumbuke password yako na changanya herufi kubwa, ndogo na namba ili password iwe ngumu.duuu sasa wap safe
sawaKama unaweza zicream kichwani kama mie navyofanya. Unakuwa na Master password halafu zote unaotengenezwa unazibadili. Halafu ikipita muda kama miezi mitano unabadilisha tena. Usipende browser ikumbuke password yako na changanya herufi kubwa, ndogo na namba ili password iwe ngumu.
unatumia mitandao michache sana ni sawaSijawah kusahau password hata siku 1 nina password zangu aina 3 tu tangia 2009 mpaka leo
Nina account nyingi hv tofaut tofaut emails gmail yahoo na Microsoft service like One drive account bdo nina social network Facebook Twitter Snapchat Jamiiforum bdo password zingne like bank accounts cjaandika popote zipo kichwani coz zoote zinaingiliana zinakufanana flani"unatumia mitandao michache sana ni sawa
usijichanganye tuu umpe mtu password zako maana atakufanya mbaya, tena mtu kama mimi nanae jua kubuni vitu ntakumalizaNina account nyingi hv tofaut tofaut emails gmail yahoo na Microsoft service like One drive account bdo nina social network Facebook Twitter Snapchat Jamiiforum bdo password zingne like bank accounts cjaandika popote zipo kichwani coz zoote zinaingiliana zinakufanana flani"