Huku kwetu ndio hivyo hivyo,... Vijana wamekuwa wateja wa hivi vitu wanaanza kupasha asubuhi sanaSinza pamekwisha kabisa,
Biashara ya safari,balimi,kvant na konyagi imeshamiri, watu wanakunywa ili walewe tu,walale pakuche,nchi imekata tamaa
Morogoro Road imekuwa sana!Ni sehemu gani ya Dar es Salaam imekua sana kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?
In terms of mambo kama ajira, ujenzi wa majengo, ujenzi wa barabara, biashara, usafiri, utalii, uvuvi, mabenki etc.
Is it City centre? Is it Kariakoo area? Is it Mlimani City area? Is it Mikocheni? Is it Masaki? Is it Airport area? Is it bandarini area? Is it Mwananyamala area?
Na ni sehemu gani ya Dar es Salaam imedorora kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?
Maeneo gani mbona sijaona frem yoyote mtaani kwangu kushuka bei??Maeneo mengi yamedorola, fremu ofisi zimekosa wapangaji, angalau makumbusho kidogo panaonekana kusonga mbele!
Kwenye ziara za rais huko mikoani ukibahatika kuona ule Msafara wa jiwe ndio ujuwe huo uchumi umewekwa kwenye sandarusi na MTU mmojaSio Dar tu! nchi nzima imedumaa na kudorora. Ndio maana wanakalia ripotiza IMF kwa kuwa hali ya uchumi ni tete.
Ni sehemu gani ya Dar es Salaam imekua sana kiuchumi (wakati wa awamu ya tano)?