Samahani wandugu kwa kuchelewa kujibu. Nimekuwa na shughuli kidogo so nachungulia mara chache kwa hapa.
Kuna kitu kizuri tuaandaa kwa ajili ya Developers wa Tz na pia tulikuwa tunahamisha office kwenda sehemu ambayo itafaa. Kila kitu kipo vizuri na course zitatangazwa baada ya kuwa updated.
Pia tunaanda Certificate of recognition kwa wanafunzi waliopita, katika Pilot program yetu.
Updated details zitakuja soon katika website yetu, JF, FB, Twitter et al.
Kama una maswali public, uliza hapa nitajibu na kama una maswali private twende PM
Mbarikiwe!
Shukrani wote mlionitag Nyasiro na elmagnifico nitawaona PM siku si nyingi, nina neno nanyi 🙂
Ni mfumo gani mnatumia katika kufundisha
Ni mfumo gani mnatumia katika kufundisha
Sijaelewa una maana gani unaposema mfumo. Unaweza kufafanua zaidi?
Ulijifunza online au ulichukua materials kutoka kwa qualified programmerkama unataka kuwa programmer mzuri ni wewe tu kuamua,na siyo kutafuta kufundishwa na programmer mzuri
weka juhudi na nia.
"programming ni hesabu" fanya practice za kutosha ikiwezekana kila siku.
Jifunze mwenyewe kama mdau alivyokwambia hapo juu nunua vitabu eg 'JAVA how to program" practices kila siku. programmers wote wamejinfunza wenyewe na sikuhizi kuna online platform nyingi tu for learning how to code free of charge au unalipa kidogo tu.
Unaanzia basics za programming (building blocks) kwa kutumia language husika, then unaenda taratibu upper the ladder.Nina maana ya kwamba unafundisha programming moja moja( c,c++,java,html) na gharama yake au unaanzia na basics za computer
True, ila jiandae na maumivu yake. Nimepitia huko najua ninachosema. Unless unataka kuishia hello world, uwe na moyo wa jiwe 🙂Jifunze mwenyewe kama mdau alivyokwambia hapo juu nunua vitabu eg 'JAVA how to program" practices kila siku.
Lie ... Brin Sergey na Larry Page, founders wa Google walisoma, tena sio kaelimu bali lielimu!programmers wote wamejinfunza wenyewe na sikuhizi kuna online platform nyingi tu for learning how to code free of charge au unalipa kidogo tu.
mkuu hyo link haifunguk unaweza kutupatia nyingine au namba zake za simu
Tafuta video tutorials usome.
website gani nitapata video tutorials
Wadau ninataka kujifunza computer programming Kama vile C++,java,HTML n.k. Nimejaribu kutafuta hapa Dar lakini sijafanikiwa.Kuna sehemu yeyote hapa Dar wanafundisha hizi programs?