Ni sawa mzazi kujua kiwango cha mshahara wangu?

Ni sawa mzazi kujua kiwango cha mshahara wangu?

Jamani naombeni kuuliza hivi ni sawa mzazi, baba au mama kujua kiwango cha mshahara wangu?
Kuepusha kupigiwa mahesabu pesa Yako siyo sawa, Soma hiki kitabu Cha Rich Dad, Poor Dad utapata jibu ninacho kwa lugha ya kiswahili nicheki WhatsApp 0756704145
IMG-20250830-WA0001.jpg
 
Mimi sioni tabu,,,labda kama wazazi wako wanakupiga mizinga sana,,
 
Ni heshima na adabu kama utamjulisha wewe,ili afahamu matunda ya kukusomesha.Kama atatangulia kukuuliza shida ikowapi wakati ni mzazi wako?
 
Ushauri wa mama muuguzi alinambia usiwazoeshe pia wazee wako kiasi na nyakati za kuwapa.
 
Back
Top Bottom