Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,306
- 28,730
Ukipiga kimoja lazima. Uwe smartHahahah ndio navisikia bwashee
Ukipiga kimoja lazima. Uwe smartHahahah ndio navisikia bwashee
Hiyo itakua pombe mavi bwashee 😅Ukipia kimoja lazima. Uwe smart
Hizi ndio za mtaa gani?Hiyo itakua pombe mavi bwashee 😅
Hizo smart bwasheeHizi ndio za mtaa gani?
😁😁😁😁
Sio mshahara tu mpk idadi ya mademu na watoto wako..!!Jamani naombeni kuuliza hivi ni sawa mzazi, baba au mama kujua kiwango cha mshahara wangu?
Kwenye Rich Dad poor DAD hakuna sehemu amesema mzazi wako asijue mshahara wako,Kuepusha kupigiwa mahesabu pesa Yako siyo sawa, Soma hiki kitabu Cha Rich Dad, Poor Dad utapata jibu ninacho kwa lugha ya kiswahili nicheki WhatsApp 0756704145
View attachment 3459039
Yaani mzazi aliyekuzaa akakulea leo unamuita GUBU, na bahati mbaya wewe ndo unakuja kuzaa na kulea hiki kipindi cha akili za mitandao ndo utajua hujui, labda uchague kuwa msagaji au mswagwaji ili uzae, Lakini ukizaa kazi unayo.Inategemeana na wazazi wapoje wengine gubu🗣️
Smart gin.Kismat ndio nini bwashee?