Ni sawa Mwanaume kujipaka lipbum?

Endelea kupakwa vitu usovijua na impact yake kwa jamii,ndo maana unajihisi watu kukusema unapotoka saluni wakati umejipodoa!Labda ni wakameruni watarajiwa..mi simo endeleeni.
 
Chembechembe za ushoga zinawasumbua wanaume wengi. Watu huwa wanamponda nisha bebi yule mtengeneza video kua anapaka hiyo makitu kumbe ndio wapakaji wakubwa..
 
Kama umewahi kuishi sehemu za baridi LIP BALM huwezi ziepuka na hadi daktari wako atakushauri hivyo!

LIP BALM sio urembo ni lzm maana zina dawa ya kuzuia midomo isichanike!I have been used
it for a while now huku kwenye baridi kali
 
mimi nilizaliwa sehemu zenye baridi wala sikuwa natumia lipbalm, hata hao wanaotumia, cdhan wakati wakiwa watoto kama walikuwa wakitumia. Au tuambiane kama kuna umrh ukifikia ndo unapaswa kutumia hiyo lipbalm.
 
Hivi unajua kuna watu wamezaliwa mijini na hawana televisheni,nyumba ,wala magari????!!!Hata wenye navyo baadhi wakiwa watoto hawakuwa navyo????!!!!
Kwani kweli kwamba hivi vitu hupatikana kwa umri fulani????!!!
 
Jf bana, daaah.... we unafanya jambo kwa faida yako mwenyewe au usifiwe na watu? Duuuh....
 
mimi nilizaliwa sehemu zenye baridi wala sikuwa natumia lipbalm, hata hao wanaotumia, cdhan wakati wakiwa watoto kama walikuwa wakitumia. Au tuambiane kama kuna umrh ukifikia ndo unapaswa kutumia hiyo lipbalm.

Mm binti yangu kazaliwa kwenye baridi na dr wake kamuandikia awe anapaka lipbalm!Conclusion ni kuwa lipbalm ina dawa inayosaidia lips zisichanike
 
duh! Kule kijijini kwetu wala hamna lipbalm lakini kuna wadada wazuri na baridi ipo ya kutosha
 
Hivi unajua kuna watu wamezaliwa mijini na hawana televisheni,nyumba ,wala magari????!!!Hata wenye navyo baadhi wakiwa watoto hawakuwa navyo????!!!!
Kwani kweli kwamba hivi vitu hupatikana kwa umri fulani????!!!

ndo nataka kujua mkuu
 
kuna lipbam za tiba hasa maeneo yenye baridi kali hii haina shida, lakini lipbam kwa ajili ya urembo tena mwanaume rijali nasema HA.PA.NA.
 
hivi tz kuna baridi ukilinganisha na nchi zingine ambamo unakuta temp inasoma below zero? Hiki k2 ni watu wanajizoesha tu! Ndo maana wabongo tunamalizwa na vitu vingi kama madawa, vipodozi, na vyakula na vingine unakuta wale wanaotuletea, wao huwa hawavitumii.
 
Endelea kupakwa vitu usovijua na impact yake kwa jamii,ndo maana unajihisi watu kukusema unapotoka saluni wakati umejipodoa!Labda ni wakameruni watarajiwa..mi simo endeleeni.

ndo maana nikalileta huku mkuu maana wanasema penye wengi hapakosi neno ama hapaharibiki jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…