Ni sawa mke wa mtu kuwa na marafiki wakiume?

Kila jambo lifanyike kwa kiasi. She's human na hawezi kuishi bila kuwa na watu, marafiki wa jinsi zote.

Lakini kuwe na kiasi...!!
 
Urafiki unaweza kuwepo ila mara nyingi hauna mwisho mwema
 
Ni sawa mke wa mtu kuwa na marafiki wa kiume ,kiasi kwamba mwanaume unarudi nyumbani unamkuta mtu sebuleni eti amekuja kupiga stori na mkeo.

Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu lakini kingine mtu anampigia simu mke wa mtu wanachat na kucheka eti ni marafiki?

embu niambieni wadau. hivi hii ndio staili ya maisha?

Ukimchekea Nyan Shabani Utayavuna Mabua Haki Ya Nani.
 
Umeona eeh!!!! Ukishaolewa kuna mipaka ambayo hutakiwi kuivuka ambayo kabla hujaolewa mipaka hiyo labda haikuwepo. Hata BF/mchumba hawezi kuruhusu rafiki wa kiume waje home kwa GF/Mchumba wake ati wanapiga story.

kwa mwanamke anaejielewa wala haitaji kuambiwa ukishaolewa kuna vitu ukifanya lazima viwe na mipaka
 
Umeona eeh!!!! Ukishaolewa kuna mipaka ambayo hutakiwi kuivuka ambayo kabla hujaolewa mipaka hiyo labda haikuwepo. Hata BF/mchumba hawezi kuruhusu rafiki wa kiume waje home kwa GF/Mchumba wake ati wanapiga story.

kweli kabisa kuna vitu ukifanya hata mchumba ambae bado hajakuoa anamind ndo itakuwa mume unajua nn wanawake wengine wanaolewa mradi wavae shela tu basi hawajui wajibu wala majukumu yao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahsanteee miss neddy na hapo kwenye rangi ndio mwanzo wa matatizo makubwa kwenye ndoa nyingi na hatimaye kuvunjika.

kweli kabisa kuna vitu ukifanya hata mchumba ambae bado hajakuoa anamind ndo itakuwa mume unajua nn wanawake wengine wanaolewa mradi wavae shela tu basi hawajui wajibu wala majukumu yao
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ni sawa mke wa mtu kuwa na marafiki wa kiume ,kiasi kwamba mwanaume unarudi nyumbani unamkuta mtu sebuleni eti amekuja kupiga stori na mkeo.

Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu lakini kingine mtu anampigia simu mke wa mtu wanachat na kucheka eti ni marafiki?

embu niambieni wadau. hivi hii ndio staili ya maisha?

.....amekuja kupiga story na #MyWifeWangu ? dahhh...?! 😛op2:
 
Back
Top Bottom