Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Mi nilisema msiba huu utageuzwa uwanja wa kisiasa subiri na wale jamaa wanao utaka urais
Subiri Lowasa kwenda msibani na kutoa ubani anajipanga aendajekamanda naona utabiri umejibu. Tabiri na jingine.
Mkuu mbona tayari! Mzee 6 akiwa na Nape wamejihudhurisha bado akina EL. Nadhani EL ataenda kanisani.Mi nilisema msiba huu utageuzwa uwanja wa kisiasa subiri na wale jamaa wanao utaka urais
Mkuu umenikumbusha. Hawakuonekana kwa Mzee Kipara au kwa kuwa alifia Kigogo kwa binti Kayenga na huyu kafia Sinza!Nchi ya hovyo sana hii yaani haina vipaumbele sijui kwa nini? Yaaani unakurupuka ikulu sijui kule coco unaenda kwenye msiba wa kanumba!! Mbona kafa mzee kipara hamkwenda!! Pumbafu kabisa hii mijitu...na wewe mama tunu nakuonaga babu kubwa kumbe na wewe kama mwenzio wa magogoni !! Aghhhh
Nimepitia blogu ya Michuzi na kuona Mama Pinda akiwa kwenye msiba wa Steve Kanumba. Lakini vilevile Mama Pinda kaenda pale akiwa kwenye gari ambayo ikiwa na nembo ya Taifa ambayo inatumiwa na Raisi au Waziri Mkuu. Je ni haki kwa mke wa Waziri mkuu au Raisi kutumia gari iliyo na nembo ya Taifa wakati wenyewe hawana hadho hiyo?
View attachment 51285
Hayo ndiyo matumizi mabaya ya rasilimali za taifa ndugu yangu.