Ni sawa kuwa na mazoea na shemeji?

Ni sawa kuwa na mazoea na shemeji?

Huu ulimwengu ulishaharibika siku nyingi...
Mimi sikushauri... labda salamu na mambo yatakayo wakutanisha na mumewe pamoja....
 
Hapanaaaaaaaa , sio sawa hata kidogo shemeji yako nisawa na mafuta ya samli wewe nikama mkaa umewahi kuona wapi mafuta ya samli yanaweka karibu na mkaa alafu yakagoma kuyeyuka , noooooo
 
Hapanaaaaaaaa , sio sawa hata kidogo shemeji yako nisawa na mafuta ya samli wewe nikama mkaa umewahi kuona wapi mafuta ya samli yanaweka karibu na mkaa alafu yakagoma kuyeyuka , noooooo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni sawa tu....ila msikarbie ishu za chupini
 
Back
Top Bottom