Ni sawa kupokea zawadi kutoka kwa ex?

Ndio maana nahofia kuchukua kwasababu sna plan ya kua nae karibu.
Kama una uwezo wa kupokea zawadi na kuwa mbali naye basi fanya hivyo.. ila kama huwezi, kaa mbali na zawadi zake, maana si rahisi kwamba upokee zawadi zake halafu usipashe kiporo.. ni ngumu... Ila kama bado una hisia naye, pokea, then muda ukifika unapasha kiporo bila hofu
 
Wakat tunaachana hatukuachana vizuri lkn baadae tukasameheana tukawa tunaongea km rafiki wa kawaida mara moja moja mpk sasa.
Mimi sinaga urafiki baada ya kuachana na mwanamke. Kilichotuunganisha mwanzo ni mapenzi na sasa yameisha kila mtu aishi na maisha yake na mpenzi wake mpya.
 
Huyo anataka mrudiane kashagundua alikosea au anataka akutumie tuu asepe... na hiki ndio kipimo cha akili ya mwanamke
Mimi nikiachana na mwanamke, that's a one way ticket. Sina cha urafiki wala nini kwa maana kilichotuunganisha ni penzi na sasa limeisha.
 
Jamani mbona mnakuwa wabishi!!tulishakubaliana sisi waafrica ni mwendo wa kupasha viporo mambo ya ku move on tuwaachie wazungu
giphy.gif
 
Ex boyfriend wng ameniletea zawadi. Yeye anasema niza birthday wakati birthday yng ilikua october ila yeye alikuwa ameenda nchini kwao sasa amerudi ameniletea zawadi anasema za birthday. Wakat tunaachana hatukuachana vizuri lkn baadae tukasameheana tukawa tunaongea km rafiki wa kawaida mara moja moja mpk sasa. Sasa ameniletea zawadi Nashindwa kuelewa nipokee au nirudishe? Au niwape wadogo zngu?
...Unaitaka hiyo zawadi! Ukiwapa wadogo zako si ndio umeipokea???
 
Back
Top Bottom