Zamiluni Zamiluni mimi tayari nishachora hiyo....utafiti charminglady miss neddy mtena HARUFU
na wengine wote... OK kila mmoja kwa kipaji chake achore hapa ....!!
Zamiluni Zamiluni mimi tayari nishachora hiyo....
Ana kipaji
Zamiluni Zamiluni mimi tayari nishachora hiyo....
mwenye kipaji ni nani sasa!!
mleta thread au mchoraji? manake mh!!
Wewe na mwanaetu....!!
hiyo ni pullover ! Lakini picha ina 1000 meaning!like mother like daughter ila huo mkono mbona mnene sana