zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Magufuli aongezewe muda wa kuitawala familia yako na mumeoAutomatically Magufuli inabidi aongezewe muda tu. Kupitia Magufuli tutafika mbali sana kama nchi na itachukua miaka mingi kumpata mtu mwenye dhamira ya dhati kama Magufuli.
Lakini ata Magufuli si amefanya makubwa mzee babaFikeni nyie, binafsi sihitaji kusikia, watu walifanya makubwa Sana lakini hamyasemi
Yap?Lakini ata Magufuli si amefanya makubwa mzee baba
Iwapo wananchi watamtaka walio wengi anaweza kugeuka na kuyapa mgongo matwaka yake na kuendelea kwani hata Nyerere alituongoza miaka mingapi mazeeRole model wake (alye pumzishwa leo nyumba ya milele) alikaa kimya kimtego, maana yake ni kwamba hakukubaliana na kuongezewa muda, binafsi najua JPM mtego huu hataukubali ili a-keep standards...
Ngoja waje wenye wagombea mamluki wanaowawakilisha mabeberu wakutolee povu! Vaa barakoa kabisa!Ni sahihi kwa viongozi mbalimbali kumlazimisha Magufuli kuongeza muda wake madarakani...
Je ameshafikia hata nusu ya Yale aliyoyafanya hayati MWL.Julius Kambarage Nyerere....
Aliyo ahidi atayatekeleza yote anahitaji pongezi au la
Nikianza kuyaelezea mbona nitajaza ukurasa na kuchafua daftariYap?
kama JPM ni smart, mchezo wa kuongezewa muda hataukubali come what may... Muda ukifika tutaongea zaidiIwapo wananchi watamtaka walio wengi anaweza kugeuka na kuyapa mgongo matwaka yake na kuendelea kwani hata Nyerere alituongoza miaka mingapi mazee
Ila wanasema ukifanya jambo ukaona kila mtu anakusifia ujue your not right Ila ukifanya jambo kukawepo na two sides ujue your right move onKazi kujenga ma barabara bila mpangilio, huku sumbawanga umasikin unaongezeka
Kwa kosa lipi tena Mkuu kwani waliopita walikuwa poa kila idaramimi hata hii mitano nimeona ni mingi. ingekuwa mimi ndo tanzania basi ningeshamtimua kwenye urais toka 2016