Ni sahihi TBC kuonyesha michuano ya CAF Champions League?

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
Imagine wewe ndio mmiliki wa Azam TV halafu unasikia TBC wanaonesha bure michuano mikubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tena kupitia kisumbusi chako hicho hicho ambacho wewe una wataka watu walipie elfu 24 kuona mechi hizo!

Kibiashara limekaaje hili? Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya nini?

Anauliza mdau kutoka X.
 
Kibiashara limekaaje hili, na Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya Nini ?

Anauliza Mdau?!! X
Yaan wewe ulitakaje?

Yaan na bado sio hio tu na michuano mingine inayokuja wataonyesha bure TBC ni television ya Umma wa Watanzania, wameamua kuwasaidia wananchi wanaokosa hizo elfu 24 alafu wanashindwa kuangalia Mechi wewe ulitaka wafanyaje mboni hujataja Zuku, Startimes, na wengine?
 
Mbona umewasemea Azam tuu wakat kuna Dstv pia. Any way toka nimenunua kisimbuzi cha Azam mwaka 2017 sijawah pitisha mwezi bila kulipia na huwa nalipq kile cha bei ya juu ambacho kwa sasa ni 35k na sijawah kuona cha maana walichonacho Azam... Acha tibisii wawape watz burudan
 
Imagine wewe ndio mmiliki wa Azam TV halafu unasikia TBC wanaonesha bure michuano mikubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tena kupitia kisumbusi chako hicho hicho ambacho wewe una wataka watu walipie elfu 24 kuona mechi hizo!

Kibiashara limekaaje hili? Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya nini?

Anauliza mdau kutoka X.
azam atulie, kaachiwa ligi kuu peke yake anarusha, epl ipo akaombe ashindane na dstv. TBC ni tv ya umma haifanyi biashara acheni iwape burudani wananchi wa kipato cha chini nao waburudike na mpira
 
Ndio ni sahihi acheni ujuaji. Kama kuna gharama za kurusha yale matangazo moja kwa moja na TBC nayo inalipia, nyie vipi bana. Tena sio TBC pekee kama kuna mwingine anaweza naye atupee burudani ya bureee.

Kwanza Azam aliifanyia Television ya taifa uhuni kwenye Afcon. Kazi iendelee
 
Imagine wewe ndio mmiliki wa Azam TV halafu unasikia TBC wanaonesha bure michuano mikubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tena kupitia kisumbusi chako hicho hicho ambacho wewe una wataka watu walipie elfu 24 kuona mechi hizo!

Kibiashara limekaaje hili? Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya nini?

Anauliza mdau kutoka X.

Anauliza mdau wa X au wauliza wewe...?

TBC ni televisheni ya umma, ipo huru kuonesha kila mchezo uwe wa CAF, UEFA, FIFA n.k kama tu ikikidhi vigezo vya vibali...
 
Tena TBC ndio hawabanwi sana kuonyeshwa kwa vigezo kwani CAF huwa inatoa kaunafuu kwa nchi wanachama kuonyesha michuano Yao ni TBC tuu walikua hawajachangamka,ndomana Zamani ilikua kuanzia group stage channel inayoonyesha ni ZBC2 na Sio Azam TV.
 
Imagine wewe ndio mmiliki wa Azam TV halafu unasikia TBC wanaonesha bure michuano mikubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tena kupitia kisumbusi chako hicho hicho ambacho wewe una wataka watu walipie elfu 24 kuona mechi hizo!

Kibiashara limekaaje hili? Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya nini?

Anauliza mdau kutoka X.
Haviusiani kwani azam alianzisha tv kwa ajili ya mashindano ya caf au anaatimiliki peke yake.?

Yeye azam ana hatimiliki kwenye ligi kuu sio mashindano ya caf.

Yaani tbc imenisaidia sana jana badala ningelipia elfu 25 azam nikalipia umeme na maji na huu ni mwezi wa pili mfululizo tbc imetusave sana sisi waangaikaji..
 
Back
Top Bottom