Ni sahihi ninachokifikiria??

Ni sahihi ninachokifikiria??

Kokubanza-G

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
111
Reaction score
23
Wazima jamani,its time to start a new relationship now.Kuna boy mmoja ivi ametokea kunipenda and the way i see sioni tatzo kwa kaka wa watu,ila ishu ni umri sasa tunalingana wote tupo 26.Sjawai kua na bf ambae tunalingana umr kiukweli na ktu nnachofkiriaga naona kama haiwezekani kumake future.Em nsaidien jaman kama fikra zangu ni sahihi ama sivyo??
 
Mmmmmh! Wakati wewe umejichokea mwenzio ndio kwaaanzaaa inasimama muda wote kha!! Subiria wataalamu waje!!
 
Kokubanza-G labda nikupe hints chache tu labda zitasaidia:

1.Mwanamke mara nyingi anawahi kuzeeka kwa sababu mbalimbali kama vile kuzaa,dio maana inapendekezwa mume kuwa walau mkubwa kuliko mkewe kwa miaka kadhaa.

2.Haiko sientifically proved lakini insemekana watu wanaooana umri mmoja mara nyingi heshima huwa kidogo sana au hamna kabisa,nina afiki zangu kama wawili hivi walioexpirience hilo jambo.

3.Kwa kuwa mume nidye apaswa kuwa kichwa cha famili inapendeza angalau awe amemzidi mkewe miaka kadhaa ili kumheshimu mume kuonekane kihalisi kwamba yeye ni mkubwa kwako si kifamilia tu bali hata umri.

Hizo ni facts chache tu zihusuzo mahusiano ya watu ambayo huenda yakaishia kwenye ndoa lakini umri wanaendana,lakini hizo zisikupe presha na kiwewe,si mara zote mabo yaweza kuwa hivyo.

so kaa chini ufikirie pande zote mbili na kisha ufanye maamuzi sahihi ili usije jutia maisha yako ya ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Mahusiano huwa yanapendeza sana pale mwanaume anapompenda mwanamke na kumtimizia yote kadiri ya uwezo na pia mwanamke kumpenda, kumtii na kumsikiliza mumewe japo na yeye mwanamke pia husikilizwa. Muhimu zaidi ni kupendana na si kuangalia umri. Kama ni umri wala asingekupenda. IN LOVE AGE IS JUST A NUMBER.
 
yeah it migth be a numberb but with a meanig na ndio maana karikakutafuta mwezni tuna zile

A,B,C na D ambapo A STANDS FOR AGE AMBAYO NDO FACTOR YA KWANZA KABISA KUCONSIDER KATIKA KUTAFUTA MWENZI.
Mahusiano huwa yanapendeza sana pale mwanaume anapompenda mwanamke na kumtimizia yote kadiri ya uwezo na pia mwanamke kumpenda, kumtii na kumsikiliza mumewe japo na yeye mwanamke pia husikilizwa. Muhimu zaidi ni kupendana na si kuangalia umri. Kama ni umri wala asingekupenda. IN LOVE AGE IS JUST A NUMBER.
 
Kokubanza-G labda nikupe hints chache tu labda zitasaidia:

1.Mwanamke mara nyingi anawahi kuzeeka kwa sababu mbalimbali kama vile kuzaa,dio maana inapendekezwa mume kuwa walau mkubwa kuliko mkewe kwa miaka kadhaa.

2.Haiko sientifically proved lakini insemekana watu wanaooana umri mmoja mara nyingi heshima huwa kidogo sana au hamna kabisa,nina afiki zangu kama wawili hivi walioexpirience hilo jambo.

3.Kwa kuwa mume nidye apaswa kuwa kichwa cha famili inapendeza angalau awe amemzidi mkewe miaka kadhaa ili kumheshimu mume kuonekane kihalisi kwamba yeye ni mkubwa kwako si kifamilia tu bali hata umri.

Hizo ni facts chache tu zihusuzo mahusiano ya watu ambayo huenda yakaishia kwenye ndoa lakini umri wanaendana,lakini hizo zisikupe presha na kiwewe,si mara zote mabo yaweza kuwa hivyo.

so kaa chini ufikirie pande zote mbili na kisha ufanye maamuzi sahihi ili usije jutia maisha yako ya ndoa.

Sasa mbona yule jamaa kamuoa bibi?
 
Last edited by a moderator:
Usijali mwaya....cha muhimu ni kupendana...Vigezo vingi 'pendekezwa' katika mahusiano huwa ndio chanzo cha kuharibika kwa mahusiano hayo baadaye.......
...AGEMATE wako anaweza pia akawa tofauti na wewe katika kufikiri na kuhandle mambo tofauti.....Anaweza kuwa na busara kuliko hata mtu mwenye umri zaidi yake..cha muhimu ni TABIA NZURI NA UPEO UNAORIDHISHA....Na kikubwa zaidi ni UPENDO WA DHATI....
 
we koku si ndio ulikuwa unalalamika kuwa jamaa ukimuomba dusherere hak
 
Wazima jamani,its time to start a new relationship now.Kuna boy mmoja ivi ametokea kunipenda and the way i see sioni tatzo kwa kaka wa watu,ila ishu ni umri sasa tunalingana wote tupo 26.Sjawai kua na bf ambae tunalingana umr kiukweli na ktu nnachofkiriaga naona kama haiwezekani kumake future.Em nsaidien jaman kama fikra zangu ni sahihi ama sivyo??

wote mmekutana majanga tu...............
 
Kokubanza-G labda nikupe hints chache tu labda zitasaidia:

1.Mwanamke mara nyingi anawahi kuzeeka kwa sababu mbalimbali kama vile kuzaa,dio maana inapendekezwa mume kuwa walau mkubwa kuliko mkewe kwa miaka kadhaa.

2.Haiko sientifically proved lakini insemekana watu wanaooana umri mmoja mara nyingi heshima huwa kidogo sana au hamna kabisa,nina afiki zangu kama wawili hivi walioexpirience hilo jambo.

3.Kwa kuwa mume nidye apaswa kuwa kichwa cha famili inapendeza angalau awe amemzidi mkewe miaka kadhaa ili kumheshimu mume kuonekane kihalisi kwamba yeye ni mkubwa kwako si kifamilia tu bali hata umri.

Hizo ni facts chache tu zihusuzo mahusiano ya watu ambayo huenda yakaishia kwenye ndoa lakini umri wanaendana,lakini hizo zisikupe presha na kiwewe,si mara zote mabo yaweza kuwa hivyo.

so kaa chini ufikirie pande zote mbili na kisha ufanye maamuzi sahihi ili usije jutia maisha yako ya ndoa.

uko sawa kabisa; hakuna furaha kama mke wako kukusalimia shikamoo baba. nawe ukajibu marhaba mamaa - hujambo. wanaolingana wanasalimiana mambo / he vipi utafikiri wahuni flani vile
 
kumbe umri tatizo...? wewe kaeni muongee fiucha ipo kwa yeyote yule...
 
ni kweli ndugu yangu raha ya hivo vitu ujue kabisa mumeo ni mkubwa kwako na unamheshimu kama ambavyo ungemheshim kaka yako au yeyote aliyekuzidi umri.
uko sawa kabisa; hakuna furaha kama mke wako kukusalimia shikamoo baba. nawe ukajibu marhaba mamaa - hujambo. wanaolingana wanasalimiana mambo / he vipi utafikiri wahuni flani vile
 
ni kweli ndugu yangu raha ya hivo vitu ujue kabisa mumeo ni mkubwa kwako na unamheshimu kama ambavyo ungemheshim kaka yako au yeyote aliyekuzidi umri.

Pia hii husaidia kuibua fikra za maendeleo na changamoto mbalimbali katika familia.
 
Back
Top Bottom