Ni sahihi mwenye nyumba kudhibiti mahusiano ya mpangaji wake?

Nisahihi kwa kila upande.


Hata km unamlipa kwann Ufanye Jina lake lichafuliwe?? Alafu anakusaidia kuukwepa ukimwi na magonjwa ya zinaa
 
Niliwai kukaa nymb moja na mt ambayo wote tulishukia nymb hiyo ila ilikuwa km gedo basi huyu jamaa mgen kila cku nimeshuudia analeta mke mpya kwa muda wa mwezi mzima mpk naondoka sasa jalia uwe umepanga nae nymb moja na huyu kiumbe utakaa kwa aman kweli na huku una mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua mkataba unasemaje, kama lipo kwenye mkataba huwezi kukiuka.

Lakini kwa maoni yangu mwenye nyumba ni busara kuangalia kodi na usalama wa nyumba yake,mahusiano sidhani kama ni muhimu kwake,labda kama kuna dalili za tishio kwa wapangaji wenzako na nyumba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hapa nilipo-bold ndio msingi mkuu wa kumshitua mpangaji hasa wale wanaobadilisha mademu kama sifa maana kuna kugonganisha magari ukazua taharuki kwenye jamii na wakati mwingine mpaka mauaji. Kikubwa si sahihi kwenye mwenye nyumba kumfuatilia mpangaji kuhusu mahusiano yake ikiwemo kubadilishabadilisha lakini na mpangaji pia ni busara pia hata kama unabadilisha badilisha kutumia mbinu za kivita pasipo kuweka issue hadharani sana.

Tukumbuke pia tunachokifanya kuna watoto wadogo wanajifunza kutoka kwetu kiwe positive ama negative
 
Back
Top Bottom