Asili ya wito ni lugha ya kiarabu. Mwnamke haitiki Rabeka. Neno lenyewe ni "Labbaika"
Ni mwitikio wa mwanaume. Ndio maana Waislam wakati wa kuowa (kuozeshwa) wanaitwa jina "
GENTAMYCINE" naye GEnta anaitikia "Labbaika" kisha anaulizwa " Umekubali kumuowa
Khantwe bint fulani. Bwana Genta anasema ndio nimekubali.....
Kwa Waswahili wa Pwani hakuna mwanamke anaitika Labbaika.
Sent using
Jamii Forums mobile app