Ni sahihi mke kukaribisha ndugu zake nyumbani bila kushirikisha mume?

Si sahihi. Haijalish mke awe na kipato kuzid mume n vema kushirikishana. Hata mume awe anamshirikisha mkewe pia ktk masuala ya familia
 
Tatizo watu wanapenda mteremko Kwani ndugu wa huyo mume mbona hawaji hapo?... unasikua thatha thang'ana fukuza huyo mwanamke akiamua kutembea mtakie safari njema ila ndugu zake fukuza huu ni Muda wa kuandaa maisha ya familia yako sio Kufuga ndugu wa mke wenye wazazi wao
Hapo dawa na wewe una tafuta mchepuko mkaliii kisha unamleta hapo unasema huyu ni binam yangu atakaa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la ushirikishwaji kwenye ndoa ni kitu chema sana.

Ukiona mwanamke anachukua maamuzi peke yake ya kusomba ndugu zake kwako hapo kuna tatizo.

Moja huweza kuwa la kiuchumi kwamba mwanamke anamiliki pesa kuliko mwanaume. Hili huwafanya kujiona wanaweza yote.

Pili yaweza kuwa ukimya wa mwanaume kwamba mke anaamua kufanya tu akichukulia mme wake hana nouma yuko pouwa.Madhara yake ni kuamua kuandika thread huku.

Mwisho, Vunja ukimya kaa nae muulize akwambie style hii ya maisha imeanza lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tang'ana,
Naomba uniskilize na ujipushe na lawama za jamaa zako!Mkuu kama huyo jamaa ako na mkewe wote wako kazini basi mwambie jamaa amuweke chini mkewe amshauri hao ndugu watafutiwe kazi za kufanya iwe mbali kidogo na wanapoishi.wakipiga kazi mwezi mmoja amshauri mkewe tena bora wawapangie chumba huko karibu na kazini kwao ili wasiwe wanachoka kwa usafiri.....Ila yote haya hua yanapatikana ktk nyumba yenye amani sio nyumba moja mwingine IRAN & USA lazima palipuliwen tu
 
Back
Top Bottom