Ni sahihi mke kukaribisha ndugu zake nyumbani bila kushirikisha mume?

Nafikiri anafanya ivo akijua anaweza kuwahudumia, ila sio tabia nzuri bila kumshirikisha mwenzie kama wana mahusiano mazuri 🤣 🤣 🤣 ( naposema mahusiano mazuri wana ndoa wanaelewa)
Mahusiano mazuri huwa yanatafsirika vema pale mwanaume unapokuwa mpole kwa kila analofanya mkeo, wanawake ukitaka umuone mbaya msemee kuhusu ndugu zake, huwa wanaamini ili wewe (mwanaume) uthibitishe Ujogoo wako ni pale unapoweza kuwa tayari wakati wowote kupokea ndugu/jamaa zake wakati wowote na bila kigugumizi, wewe ukileta tu ndugu zako anaanza kukuuliza huoni maisha magumu ?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom