LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,632
Kitu tayari kimejipa mama, hongera Kwa Gori Mubasharamimba ya week mbili i mean ndo inaanza !ni sawa mama mjamzito kula asali? asanteni kwa ushauri
Kitu tayari kimejipa mama, hongera Kwa Gori Mubasharamimba ya week mbili i mean ndo inaanza !ni sawa mama mjamzito kula asali? asanteni kwa ushauri
Kitu tayari kimejipa mama, hongera Kwa Gori Mubashara
ahahaa sina mimba jamani bado natafuta nauliza kwa niaba ya mtuKwanza,
Hongera kwa kazi!
Endelea wala usitegee,Usimwache mhusika, na kwa mantiki hiyo, badilisha jina lako lisiwe miss natafuta, maana umeshapata.
Nirudi kwenye jibu la swali lako:
Asali na maziwa pekee ina uwezo wa kukufanya uishi maisha ya afya kupita vyakula vingine vyoye!
Kwa hiyo, Asali ni chakura bora kabisa na sukakari yake inabalasika mwilini kutokana na kuwemo aina zote tano zinazotengeneza mlo kamili.
Na Haina madhara kabisa!
Aaah mbona unatu let down mamaaahahaa sina mimba jamani bado natafuta nauliza kwa niaba ya mtu
mi bado sijapata sperm donorAaah mbona unatu let down mamaa
Yap nakumbukaunakumbuka siku moja tulikuwa tunaongea mambo ya ivf huku?
tulipandikiza pale so kitu kimetikiYap nakumbuka
Safi sana Mungu kamsaidia....tulipandikiza pale so kitu kimetiki
Alirudisha embryo ngapi???tulipandikiza pale so kitu kimetiki
amen ana miaka 50Safi sana Mungu kamsaidia....
Afanikiwe salama kuivuka hususan 1st trimester maana ndio yenye changamoto
aliwekewa mayai matatuAlirudisha embryo ngapi???
Whoa....aliwekewa mayai matatu
inshalah Mungu ni mwema sana yaaani alishakata tamaa kabisa yaani aliwekewa yai moja lake mawili ya kwanguWhoa....
Hopefully atapata triplets........
Nilitaka nishagae maana ulisema papachu yako umeifungia kabatini, sasa nikawa najiuliza imetolewa liniahahaa sina mimba jamani bado natafuta nauliza kwa niaba ya mtu
itatolewa ukiitakaNilitaka nishagae maana ulisema papachu yako umeifungia kabatini, sasa nikawa najiuliza imetolewa lini
Thats niceinshalah Mungu ni mwema sana yaaani alishakata tamaa kabisa yaani aliwekewa yai moja lake mawili ya kwangu
i cant wait to see my kids! nalea mimba utadhani yangu yaaniThats nice
ahahaa
Na nina itaka kweli ujueitatolewa ukiitaka
unaweza kutafuna pia ama kumeza na maji.Hivi asali huwa inaliwa au inalambwa?