Ni sahihi kwa nguzo za eneo la vivuko kupakwa rangi ya bendera ya taifa?


M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
4,789
Likes
3,014
Points
280
Age
42
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
4,789 3,014 280
Ni kuhusu hizi barabara maalum za mabasi ya mwendokasi.
Wiki iliyopita niliwaona vijana wakipaka rangi ya bendera ya Taifa la Tanzania kwenye nguzo zilizopo kwenye vivuko na zile za njia ya waenda kwa miguu yaani service road.
Wajenzi wa barabara hii ni sawa? Kwa uelewa wangu sehemu za barabara hasa vivuko hupakwa rangi ya pundamilia yaani nyeupe na nyeusi na hii ni dunia nzima.
Ni kwanini wajenzi hasa mainjinia wamelinyamazia hili? Au ni sawa kupaka rangi yoyote? Nisaidieni jibu.
 

Forum statistics

Threads 1,236,923
Members 475,327
Posts 29,272,800