Ni sahihi kwa mwanaume kuoshwa miguu?

Ni sahihi kwa mwanaume kuoshwa miguu?

Mambo ya kuiga yanatuathiri sana waafrika, tunaacha kufata asili zetu tunapna kila kitu ni fashion.

Ni aibu sana.

Yatupasa kukemea hiki kitu maana haiingii akilini mwanaume kuoshwa kucha na kusuguliwa miguu
 
Yani my hubby nimuachie aoshwe nje?Hiyo haipendezi atiii!!!
 
Yani my hubby nimuachie aoshwe nje?Hiyo haipendezi atiii!!!

Kwaiyo hakikisha tabia hii inatokomezwa ata kwa kuwashauli wanawake wenzenu wasiluhusu waume zao kufanya hii kitu
 
ni aibu kwakweli jinaume zima kuoshwa miguu na mwanaume mwenzako.mwisho wa cku anaweza kupaka hata rangi hzo kucha.
 
hawa vijana wanasaidia sana hasa kwa wanaume wenye vitambi kutukata kucha na ni mgawanyo wa rizik,utakiwi kushangaa jamaa
quite right, ni mgawanyo wa riziki, na ukiendelea kujudge utajiuliza ni halali mwanamme kunyolewa nywele kwa barbershop? kwa nini asinunue home-shaving kit akanyolewa na mke wake?

bakfiring swali langu: ni sahihi mwanamme kushangaa mtu kupewa huduma ya kawaida ya usafi usiohusiana na sehemu za ndoa?
 
MAANA YA KUOSHWA
MIGUU. YOHANA 13:1-15

Basi kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu,
hali akijua ya kuwa saa yake imefika,
atakayotoka katika ulimwengu kwenda
kwa Baba, naye ali amewapenda watu
wake katika ulimwengu, aliwapenda upeo.
Hata wakati wa chakula cha jioni; naye
Ibilisi amekwisha kumtia Yuda, mwana wa
Simon Iskariote, moyo wa kumsaliti; Yesu
akijua ya kwamba Baba amempa vyote
mikononi mwake, na yakuwa alitoka kwa
Mungu naye anakwenda kwa Mungu,
aliondoka chakulani; akaweka kando
mavazi yake, akatwaa kitambaa,
akajifunga kiunoni. Kisha akatia maji
katika bakuli, akaanza kuwatawadha
wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile
kitambaa alichojifunga. Hivyo yuaja kwa
Simon Petro. Huyo akamwambia, Bwana!
Wewe wanitawadha miguu mimi? Yesu
akajibu, akamwambia, nifanyalo wewe
hulijui sasa; lakini utalifahamu baadaye.
Petro akamwambia, wewe hutanitawadha
miguu kamwe. Yesu akamwambia, kama
nisipokutawadha, huna shirika nami.
Simoni Petro akamwambia, Bwana, si
miguu yangu tu, hata na mikono yangu na
kichwa changu pia. Yesu akamwambia,
yeye aliyekwisha kuoga hana haja ila ya
kutawadha miguu, bali yu safi mwili wote;
nanyi mmekuwa safi, lakini si nyote mlio
safi. Kwa maana alimjua yeye
atakayemsaliti; ndiyo maana alisema, si
nyote mlio safi.
Basi alipokwisha kuwatawadha miguu, na
kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena,
akawaambia je! mmeelewa na hayo
niliyowatendea? Ninyi mwaniita, mwalimu,
na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana
ndivyo nilivyo. Basi ikiwa mimi, niliye
Bwana na mwalimu, nimewatawadha
miguu, imewapasa vivyo kutawadhana
miguu ninyi kwa ninyi. Kwa kuwa
nimewapa kielelezo; ili kama mimi
nilivyowatendea, ninyi mtende vivyo.
Ndugu msomaji jambo hili sio jambo geni
la kuoshwa miguu makanisani ila nataka
uelewe kusudi la YESU na ni nani
wanaopaswa kuoshwa miguu na ni kwa
jinsi gani? Hali YESU akijua ya kuwa muda
wake umekaribia kuchukuliwa aliwaita
wanafunzi wake akawaosha miguu ikiwa
ni ishara ya utayari kwa ajili ya kazi yake,
akachukuwa kitambaa akajifunga kiunoni
wakati akiwanawisha miguu - hii ina
maana aliwaachia ujasiri kwa ajili ya kazi
yake ili wayaendeleze yale
aliyowafundisha kwa wanadamu wote, na
ukisoma utaona Petro alikataa asioshwe
miguu ila YESU akamwambia usipokubali
nikuoshe hautakuwa na shirika na mimi,
hii yote ilikuwa ni maandalizi ya
kuwaandaa wale mitume wake au
wanafunzi wake kwa ajili ya kazi yake. Na
akasema ikiwa mimi mwalimu
nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo
kutawadhana miguu ninyi kwa ninyi kwa
kuwa mimi nimewapa kielelezo ili kama
mimi nilivyowatendea nanyi mtende hivyo
hivyo.
Ndugu msomaji, natumaini umesoma huu
waraka niliokuandikia hapo juu Yohana
13:1-15. Yesu anasema mtawadhane
ninyi kwa ninyi na kufuata kielelezo
alichowaachia na kwa jinsi ile ile na
akasema ni ninyi kwa ninyi inamaana ni
watumishi kwa watumishi. Na zaidi
nikuulize swali; je, kwa nini Yesu
hakuwatawadha miguu watu wengine
tofauti na wale mitume?
Hii ni kwa sababu hawa mitume
waliandaliwa kwa kazi yake tu, na ni
tofauti na wafuasi wa Yesu, ndiyo maana
anasema ninyi kwa ninyi na nimeshawapa
kielelezo na ukisoma mstari wa 15
inaelezea, na kielelezo hicho ni wale
mitume / watumishi sasa swali nakuuliza,
ndugu msomaji, je wewe unayeoshwa
miguu wewe ni mtumishi? Au ni mfuasi wa
Yesu? Soma utaona imeandikwa ni
watumishi kwa watumishi ili kuifanya kazi
yake, ila siku hizi Neno na maagizo
aliyoyaagiza Yesu na kutoa mifano
imepuuzwa, watu wote wanaoshwa
miguu kanisani je nikuulize swali kwa nini
Yesu amesema ninyi kwa ninyi tu? Ina
maana ni watumishi peke yao kwa ajili ya
kazi yake. Na kama ingekuwa ni kwa watu
wote, basi ingeandikwa kwa watu wote
kama ilivyoandikwa mkawabatize watu
wote.
Na ili uzidi kufunguka ufahamu wako je,
ni mtumishi anayebatiza au ni muumini?
Jibu ni mtumishi, hii ni sababu yeye
ameshatofautishwa na kondoo. Ndiyo
maana ni mtumishi tu ndiye anayetakiwa
kuoshwa miguu tu, na sio waumini japo
hata mimi niliwahi kuoshwa miguu, bila
kujua ila nitakueleza hasara zake, kwa
hiyo tayari hili ni kosa kubwa na kufanya
kinyume na Yesu alivyoagiza. Na
ukisoma katika Yohana13: hakuna
mahali Yesu amerudia kuwaosha hawa
mtume wake miguu ni mara moja tu, hao
wawafanyie wengine kwa kufuata kielelezo
alichokifanya Yesu. Leo hii hakuna cha
mtumishi wala muumini wote mnaoshwa
miguu. Hebu someni Neno na kuelewa. Na
utashangaa kila mara ibada za kuoshwa
miguu. Ni kuulize swali wewe unayeoshwa
miguu wewe ni mtumishi? Jibu siyo na
kama wewe ni mtumishi kwa nini na wewe
kila mara unawanawisha miguu? Hauna
jibu, umepotea.
Ndugu msomaji leo nakupatia siri kubwa
na ufunguke kuhusu ibada za kuoshwa
miguu na hili ni kwa Dunia yote na
mataifa yote, Yesu kaniambia siyo
mpango wake watu wote waoshwe miguu
ni kwa watumishi tu, ila watumishi
wengine wanaiga wenzao wafanyavyo ila
95% ya Ibada zote za “foot washing” kwa
waumini, hutumia nguvu za giza na
kuyanenea yale maji wanapokuosha
miguu wanakushika utayari wako
unakuwa wewe ni wa hapo hapo tu hata
kama mnamjua kabisa mtumishi ni
mchawi hauondoki hapo, hata kama
mambo yako hayaendi unaangamia
hauwezi kutoka, maana miguu imeibiwa
utayari na zaidi ule utayari unabakia
katika kitambaa na vile vitambaa
huviweka kwenye kiti na begani, kwenye
kiti ni kukukalisha wewe hapo hapo tu, na
begani anakubebesha mizigo ushindwe
kuondoka. Funguka Yesu anawapenda
mpone, unayesikia, sikia, unayekataa
utajuta. Na watumishi hao wakiona
waumini wameanza kumshtukia mtumishi
hayupo sawa na MUNGU haraka sana
huitisha ibada ya kuoshwa miguu, na
waumini wanafikiria ni jambo jema kumbe
unaenda kumalizwa kiroho na kimwili,
waulize swali, hawana jibu zaidi ya
kukukimbia, na zaidi waulize wapi Yesu
aliwarudia kuwaosha mitume miguu wale
aliowaosha? Jibu hawana. Huu ni mpango
wa kwenda kinyume na Yesu. Amesema
ninyi kwa ninyi tu, watumishi na kielelezo
ni kama hao mitume na watumishi tu. Na
zaidi ufunguke ukisoma katika Neno lake
Yesu alifunga kitambaa kiunoni,
akawafuta, sasa kwa nini hawa
hawajifungi kiunoni kitambaa? Jibu
umelijua.! na je, ndicho kielelezo
alichokiacha YESU cha kuweka kitambaa
kwenye kiti na begani? Huu ni mfano
halisi hiyo ni feki tu. Na waumini siyo
watumishi waoshwe miguu ni mtumishi
anaoshwa tu pale anapopakwa mafuta.
Ufunguke ufahamu ili mtumishi akukamate
kipepo, njia mojawapo ni hiyo na ujiulize swali
kwa nini hurudia ibada ya footwashing kila
mara? Na je wewe muumini ni mtumishi?
Kataa na usishiriki na waulize swali na
uangalie kwenye BIBLIA utaona ukweli
mtupu, usishiriki dhambi na zaidi
unaangamia, umeshiriki Neno la MUNGU
kinyume na alivyopanga YESU.
 
Natambua kama ni kazi ila walengwa ni wanawake na haipendezi kwa mwanaume

Mkuu toka nikuache mawela uliendelea kukaa bado!! Ila pale wahudumu wao wazuri bana unasemaje
 
MAANA YA KUOSHWA
MIGUU. YOHANA 13:1-15

Basi kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu,
hali akijua ya kuwa saa yake imefika,
atakayotoka katika ulimwengu kwenda
kwa Baba, naye ali amewapenda watu
wake katika ulimwengu, aliwapenda upeo.
Hata wakati wa chakula cha jioni; naye
Ibilisi amekwisha kumtia Yuda, mwana wa
Simon Iskariote, moyo wa kumsaliti; Yesu
akijua ya kwamba Baba amempa vyote
mikononi mwake, na yakuwa alitoka kwa
Mungu naye anakwenda kwa Mungu,
aliondoka chakulani; akaweka kando
mavazi yake, akatwaa kitambaa,
akajifunga kiunoni. Kisha akatia maji
katika bakuli, akaanza kuwatawadha
wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile
kitambaa alichojifunga. Hivyo yuaja kwa
Simon Petro. Huyo akamwambia, Bwana!
Wewe wanitawadha miguu mimi? Yesu
akajibu, akamwambia, nifanyalo wewe
hulijui sasa; lakini utalifahamu baadaye.
Petro akamwambia, wewe hutanitawadha
miguu kamwe. Yesu akamwambia, kama
nisipokutawadha, huna shirika nami.
Simoni Petro akamwambia, Bwana, si
miguu yangu tu, hata na mikono yangu na
kichwa changu pia. Yesu akamwambia,
yeye aliyekwisha kuoga hana haja ila ya
kutawadha miguu, bali yu safi mwili wote;
nanyi mmekuwa safi, lakini si nyote mlio
safi. Kwa maana alimjua yeye
atakayemsaliti; ndiyo maana alisema, si
nyote mlio safi.
Basi alipokwisha kuwatawadha miguu, na
kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena,
akawaambia je! mmeelewa na hayo
niliyowatendea? Ninyi mwaniita, mwalimu,
na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana
ndivyo nilivyo. Basi ikiwa mimi, niliye
Bwana na mwalimu, nimewatawadha
miguu, imewapasa vivyo kutawadhana
miguu ninyi kwa ninyi. Kwa kuwa
nimewapa kielelezo; ili kama mimi
nilivyowatendea, ninyi mtende vivyo.
Ndugu msomaji jambo hili sio jambo geni
la kuoshwa miguu makanisani ila nataka
uelewe kusudi la YESU na ni nani
wanaopaswa kuoshwa miguu na ni kwa
jinsi gani? Hali YESU akijua ya kuwa muda
wake umekaribia kuchukuliwa aliwaita
wanafunzi wake akawaosha miguu ikiwa
ni ishara ya utayari kwa ajili ya kazi yake,
akachukuwa kitambaa akajifunga kiunoni
wakati akiwanawisha miguu - hii ina
maana aliwaachia ujasiri kwa ajili ya kazi
yake ili wayaendeleze yale
aliyowafundisha kwa wanadamu wote, na
ukisoma utaona Petro alikataa asioshwe
miguu ila YESU akamwambia usipokubali
nikuoshe hautakuwa na shirika na mimi,
hii yote ilikuwa ni maandalizi ya
kuwaandaa wale mitume wake au
wanafunzi wake kwa ajili ya kazi yake. Na
akasema ikiwa mimi mwalimu
nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo
kutawadhana miguu ninyi kwa ninyi kwa
kuwa mimi nimewapa kielelezo ili kama
mimi nilivyowatendea nanyi mtende hivyo
hivyo.
Ndugu msomaji, natumaini umesoma huu
waraka niliokuandikia hapo juu Yohana
13:1-15. Yesu anasema mtawadhane
ninyi kwa ninyi na kufuata kielelezo
alichowaachia na kwa jinsi ile ile na
akasema ni ninyi kwa ninyi inamaana ni
watumishi kwa watumishi. Na zaidi
nikuulize swali; je, kwa nini Yesu
hakuwatawadha miguu watu wengine
tofauti na wale mitume?
Hii ni kwa sababu hawa mitume
waliandaliwa kwa kazi yake tu, na ni
tofauti na wafuasi wa Yesu, ndiyo maana
anasema ninyi kwa ninyi na nimeshawapa
kielelezo na ukisoma mstari wa 15
inaelezea, na kielelezo hicho ni wale
mitume / watumishi sasa swali nakuuliza,
ndugu msomaji, je wewe unayeoshwa
miguu wewe ni mtumishi? Au ni mfuasi wa
Yesu? Soma utaona imeandikwa ni
watumishi kwa watumishi ili kuifanya kazi
yake, ila siku hizi Neno na maagizo
aliyoyaagiza Yesu na kutoa mifano
imepuuzwa, watu wote wanaoshwa
miguu kanisani je nikuulize swali kwa nini
Yesu amesema ninyi kwa ninyi tu? Ina
maana ni watumishi peke yao kwa ajili ya
kazi yake. Na kama ingekuwa ni kwa watu
wote, basi ingeandikwa kwa watu wote
kama ilivyoandikwa mkawabatize watu
wote.
Na ili uzidi kufunguka ufahamu wako je,
ni mtumishi anayebatiza au ni muumini?
Jibu ni mtumishi, hii ni sababu yeye
ameshatofautishwa na kondoo. Ndiyo
maana ni mtumishi tu ndiye anayetakiwa
kuoshwa miguu tu, na sio waumini japo
hata mimi niliwahi kuoshwa miguu, bila
kujua ila nitakueleza hasara zake, kwa
hiyo tayari hili ni kosa kubwa na kufanya
kinyume na Yesu alivyoagiza. Na
ukisoma katika Yohana13: hakuna
mahali Yesu amerudia kuwaosha hawa
mtume wake miguu ni mara moja tu, hao
wawafanyie wengine kwa kufuata kielelezo
alichokifanya Yesu. Leo hii hakuna cha
mtumishi wala muumini wote mnaoshwa
miguu. Hebu someni Neno na kuelewa. Na
utashangaa kila mara ibada za kuoshwa
miguu. Ni kuulize swali wewe unayeoshwa
miguu wewe ni mtumishi? Jibu siyo na
kama wewe ni mtumishi kwa nini na wewe
kila mara unawanawisha miguu? Hauna
jibu, umepotea.
Ndugu msomaji leo nakupatia siri kubwa
na ufunguke kuhusu ibada za kuoshwa
miguu na hili ni kwa Dunia yote na
mataifa yote, Yesu kaniambia siyo
mpango wake watu wote waoshwe miguu
ni kwa watumishi tu, ila watumishi
wengine wanaiga wenzao wafanyavyo ila
95% ya Ibada zote za “foot washing” kwa
waumini, hutumia nguvu za giza na
kuyanenea yale maji wanapokuosha
miguu wanakushika utayari wako
unakuwa wewe ni wa hapo hapo tu hata
kama mnamjua kabisa mtumishi ni
mchawi hauondoki hapo, hata kama
mambo yako hayaendi unaangamia
hauwezi kutoka, maana miguu imeibiwa
utayari na zaidi ule utayari unabakia
katika kitambaa na vile vitambaa
huviweka kwenye kiti na begani, kwenye
kiti ni kukukalisha wewe hapo hapo tu, na
begani anakubebesha mizigo ushindwe
kuondoka. Funguka Yesu anawapenda
mpone, unayesikia, sikia, unayekataa
utajuta. Na watumishi hao wakiona
waumini wameanza kumshtukia mtumishi
hayupo sawa na MUNGU haraka sana
huitisha ibada ya kuoshwa miguu, na
waumini wanafikiria ni jambo jema kumbe
unaenda kumalizwa kiroho na kimwili,
waulize swali, hawana jibu zaidi ya
kukukimbia, na zaidi waulize wapi Yesu
aliwarudia kuwaosha mitume miguu wale
aliowaosha? Jibu hawana. Huu ni mpango
wa kwenda kinyume na Yesu. Amesema
ninyi kwa ninyi tu, watumishi na kielelezo
ni kama hao mitume na watumishi tu. Na
zaidi ufunguke ukisoma katika Neno lake
Yesu alifunga kitambaa kiunoni,
akawafuta, sasa kwa nini hawa
hawajifungi kiunoni kitambaa? Jibu
umelijua.! na je, ndicho kielelezo
alichokiacha YESU cha kuweka kitambaa
kwenye kiti na begani? Huu ni mfano
halisi hiyo ni feki tu. Na waumini siyo
watumishi waoshwe miguu ni mtumishi
anaoshwa tu pale anapopakwa mafuta.
Ufunguke ufahamu ili mtumishi akukamate
kipepo, njia mojawapo ni hiyo na ujiulize swali
kwa nini hurudia ibada ya footwashing kila
mara? Na je wewe muumini ni mtumishi?
Kataa na usishiriki na waulize swali na
uangalie kwenye BIBLIA utaona ukweli
mtupu, usishiriki dhambi na zaidi
unaangamia, umeshiriki Neno la MUNGU
kinyume na alivyopanga YESU.

Naamini wameelewa somo
 
Mkuu toka nikuache mawela uliendelea kukaa bado!! Ila pale wahudumu wao wazuri bana unasemaje

Hahahahahaaa pale si mchezo mkuu, je wewe uliona ili tukio pale au wewe ni mlengwa?
 
ni aibu kwakweli jinaume zima kuoshwa miguu na mwanaume mwenzako.mwisho wa cku anaweza kupaka hata rangi hzo kucha.

Na wakipaka rangi lazima wavae na skuna ili waende na fasheni
 
Back
Top Bottom