Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 912
- 4,249
Acha kupotosha amesema wanapokuwa ziarani Mikoani ni lazima waripoti pia kwenye ofisi za chama Ili chama kijue wamekuja kufanya nini.Waziri ni mtendaji mkuu wa wizara kisiasa, anateuliwa na Mhe. Rais na anawajibika kusimamia masuala ya kisera ya wizara.
Leo wameelekezwa kuripoti kwa Karibu mkuu wa chama , je haya maelekezo ni halali? Wanaripoti nini wakati wao ni wajumbe wa baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Mh. Rais ? Je, katibu mwenyezi ndiye anapaswa kupima utendaji wa mawaziri? Muundo wa uwajibikaji upoje kwenye chama?
Na soon wabunge nao watatakiwa kuonana na Mwenezi ili wamweleze style ya kujienezaLeo wameelekezwa kuripoti kwa Karibu mkuu wa chama , je haya maelekezo ni halali? Wanaripoti nini wakati wao ni wajumbe wa baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Mh. Rais ?
Mkuu unasahau Serikali Iko chini ya chama?Waziri ni mtendaji mkuu wa wizara kisiasa, anateuliwa na Mhe. Rais na anawajibika kusimamia masuala ya kisera ya wizara.
Leo wameelekezwa kuripoti kwa Karibu mkuu wa chama , je haya maelekezo ni halali? Wanaripoti nini wakati wao ni wajumbe wa baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Mh. Rais ? Je, katibu mwenyezi ndiye anapaswa kupima utendaji wa mawaziri? Muundo wa uwajibikaji upoje kwenye chama?
Waziri ni mtendaji mkuu wa wizara kisiasa, anateuliwa na Mhe. Rais na anawajibika kusimamia masuala ya kisera ya wizara.
Leo wameelekezwa kuripoti kwa Karibu mkuu wa chama , je haya maelekezo ni halali? Wanaripoti nini wakati wao ni wajumbe wa baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Mh. Rais ? Je, katibu mwenyezi ndiye anapaswa kupima utendaji wa mawaziri? Muundo wa uwajibikaji upoje kwenye chama?
Acha kupotosha amesema wanapokuwa ziarani Mikoani ni lazima waripoti pia kwenye ofisi za chama Ili chama kijue wamekuja kufanya nini.
Waziri anatekeleza sera za serikali ya CCM!!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Mkuu unasahau Serikali Iko chini ya chama?
Unasahau hata Rais ni mwenyekiti wa Chama?
Serikali yote inawajibika kwa chama tawala!
Unajua kuwa hata Rais akienda kinyume anawajibishwa na chama?
Kwa leo fikiri hayo kwanza
Mkuu unajua kwamba Rais anaongozwa na mipango iliyo ndani ya Ilani ya Chama?Sio kweli. Rais anawajibika kwa wananchi waliomchagua. Huu ujinga wa CCM ndio unafanya watu waone chama ni kila kitu na kufanya serikali na mahakama kuwa chawa wa chama baadala ya kufanya kazi.
Chama kitakachoshinda Uchaguzi mkuu, ndio kitaunda serikali.....Kwani wanafanya kazi ya chama au serikali?. Huu ujinga wa CCM kumiliki serikali ndio hatuhutaki. Ni Kama siku ile wanalazimisha polisi aseme CCM hoyee, alivyokataa wakasema watamchukulia hatua. Nilionà aibu kwa kweli
Upo sahihi, na Serikali hiyo itatumia ilani ya uchaguzi kuongoza. Kama kuna mapungufu basi CCM ita yaainisha na yatapelewa Serikalini kwa formal way, siyo mtu kubwabwaja kwenye mkutano wa hadhara.Chama kitakachoshinda Uchaguzi mkuu, ndio kitaunda serikali.....
Nadhani uliwahi kutana na statement kama hii.