Ni sahihi kumuoa Binamu?

Kama ni kanda ya ziwa, na ni wakerewe, wajita , hao nimeona wengi wameoana Binamu, hata wapare pia kuna baadhi nimeona wameoana Binamu. Ila kiislam unaruhusiwa kuoa mtoto wa mama mkubwa au mdogo, lakini si baba mdogo wala mkubwa.SO NI RUKSA
Ila nimeona Waarabu waislamu mtu anamuoa mtoto wa baba yake mdogo kabisa tumbo moja. Hii ni sawa kweli?
 
Isikilize dhamira yako ya ndani... kama inakwambia hili si jambo sahihi basi acha na ukatubu na kama inasema ni sahihi basi we fanya tu lakini kumbuka Sheria ya Jamhuri ya Tanzania kuhusu ndoa hairuhusu ndoa kwa ndugu wa damu.
 


Lilishaandikwa kwenye biblle. Yesu mwenyewe ametokea kwenye chimbuko la mtu kumuoa mtoto wa mjomba wake.

Jacob alioa mabinti wawili wa Rabani ambaye ni mjomba wake, yaani Rahel na Leah na akazaa nao watoto 12 na ndiyo asili ya makabila 12 ya wana wa Israel ambao ni ukoo wa Yesu.
 
Isikilize dhamira yako ya ndani... kama inakwambia hili si jambo sahihi basi acha na ukatubu na kama inasema ni sahihi basi we fanya tu lakini kumbuka Sheria ya Jamhuri ya Tanzania kuhusu ndoa hairuhusu ndoa kwa ndugu wa damu.

Mtoto wa mjomba siyo consanguinity.
 
kwa hiyo mtoto wenu atakuwa anawaita baba na mama au mjomba na shangazi? Je hautojisikia tofauti kumuita mjomba au shangazi yako mkwe? unaomba ushauri wakati mshagegedana kumbuka ushajipa laana kwa kumtoa bikra dada yako
 
Alafu cku nyingine unapoomba ushauri jitahidi kuomba ushauri huo kabla hujafa maamuzi. Pili soma kwa umakini ushauri utakaopewa na kama huelewi soma mara saba saba. Ucombe ushauri kwa jambo ambalo umeshalifanyia maamuzi sasa tutakushauri nini? Nakuuliza hivi wanawake wameisha hadi ifikie unataka kumuoa mtoto wa mjomba wako? Labda kwa kuongezea tu kutoka kwa mwenzangu hapo juu ni kwamba hapa duniani hakuna dini walw dhehebu linaloluhusu ndugu wa damu kuoana, yaan kaka, dada mjomba, shangazi, mtoto wa dada, mtoto wa kaka, mtoto wa mjomba nk. na kwa kumalizia ubishi wako, mimi ni mtumishi ktk idara ya ndo, vizazi na vifo, hata ndoa ya serikali hailuhusu ndugu kuoana. Mwacha huyo binti aolewe na watu wasio ndugu tafuta mwanamke mwingine.
 

Yesu mwenyewe ametokea kwenye chimbuko la mtu kumuoa mtoto wa mjomba wake. Jacob alioa mabinti wawili wa Rabani ambaye ni mjomba wake, yaani Rahel na Leah na akazaa nao watoto 12 na ndiyo asili ya makabila 12 ya wana wa Israel ambao ni ukoo wa Yesu.
 
Maana yake unataka mama yako na kaka yake wawe wakwe?
 
Kama Rabani na mama yake Jacob kwenye bible waliogeuka kuwa wake Jacob aliwaoa Rahel na Leah.
Mambo ya nyakati hizo yalitokea kwa sababu maalum. Kwani watoto wa Adam na Eva si walioana wao kwa wao?, hatuhalalishi jambo kwa historia
 
BIBILIA INASEMA ALAANIWE AIONAYE TUPU YA NDUGUYE,, sasa sijajua kama ukimuoa mtakua mnapiga story bila kwichi kwichi
 
[QUOTE="Lisa, post: Ila kiislam unaruhusiwa kuoa mtoto wa mama mkubwa au mdogo, lakini si baba mdogo wala mkubwa.SO NI RUKSA
Si kweli uislamu hauruhusu kuoa mtoto wa mama mkubwa/mdogo.[/QUOTE]
Uislam unaruhusu wa mama mkubwa ila tu usiwe umeshea nae ziwa, ikiwa umeshea nae nyonyo huyo ni dada yako tena
 
KUOA AU LUOLEWA NA MTOTO WA SHANGAZI AU MJOMBA MI BINAFSI YANGU SIONI VIBAYA SABABU HAKUNA DAMU PALE NAWAONIACHA HOI WANAOOA AU KUOLEWA NA WATOTO WA BABA MKUBWA AU MDOGO,
NILISHANGAA KUJA JAMAA MMOJA ALIOA MTOTO WA DADA YAKE WA TUMBO MOJA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…