Sema Sasa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 651
- 898
Wadau naomba kuuliza, Mimi nafanya kazi shirika moja hivi. Ninalipwa basic gross salary 578,812.00 per month, napewa housing allowance 86,822.00, napewa out stationed allowance 275,000 (nafanya kazi mbali na eneo la ofisi na nalala huko huko).
Shida yangu ni kwamba wanajumlisha hizo allowances zote kwenye basic salary inakuwa jumla 940,634 kisha wanatoa nssf 10% na kinachobaki chote wanakata kodi. Je ni haki allowances zangu zikatwe kodi? Je na wabunge hukatwa kodi allowances zao? Msaada please.