zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,494
- 1,715
NjaanuaryJanuary imemvuruga...wengine wanahic wameingia period twice jinsi January ilivyokuwa ndefu...
NjaanuaryJanuary imemvuruga...wengine wanahic wameingia period twice jinsi January ilivyokuwa ndefu...
Wape somo mkuuCRDB ni registered name kabisa. Sasa unaposema CRDB sio kwamba unaelezea kitu (KIELEZI), bali unataja jina kabisa (NOMINO). Ukitoa herufi moja hapo utakua haumanishi hii benki, bali kitu tofauti
Mfano Uwanja wa Ndege wa Dar unajulikana kama Julius Kambarage Nyerere International Airport (JKNIA), ni jina lililotimia kabisa na limesajiliwa hivyo, utakapokua unalifupisha au kuondoa herufi moja basi utakua unamaanisha kitu kingine