Wadau Mimi sijasoma Kiswahili ngazi ya juu ya Elimu, lakini Kuna kitu nahisi hakiko sawa kwa ufahamu wangu kiduchu.
UNAKUTA MTU ANASEMA Benki ya NMB inatoa mikopo kwa Riba Nafuu!!! Sasa hapo Kuna kurudiwa Mara mbili kwa neno Benki, mwanzo na ile ya mwisho.
Ni sawa na kusema, ROAD OF NYERERE ROAD, yaani barabara ya Nyerere Road,.
MAONI
Ingekuwa vema benki kama CRDB iitwe BENKI YA CRD, au MTU aseme amepeleka pesa CRDB, hapo italeta mantiki.
Karibuni walaalamu wa Lugha hasa English na Kiswahili mniondoe ujinga kidogo.