Pamoja na nia nzuri ya kutekeleza sheria kwa watu waliovamia maeneo ya wazi, mabondeni na viwanja vya serikali kuwavunjia nyumba zao. Lakini ni shahihi kufanya hivyo wakati watumishi walio wengi wanalia na nyumba za kuishi?
Mtu mmoja aliyevunjiwa nyumba yake kwa sababu ya kujenga eneo la serikali aliniuliza kwa nini wasingetaifisha nyumba hiyo ikatumika kwa kazi nyingine? Lukuvi wakati anasema bomoa bomoa imethitishwa nilidhani atasema tunaangalia namna nzuri ya kuendelea na zoezi hili.